Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Nimemuangalia huyu striker mpya wa Azam you tube, natema mate Chino.Hawa Azam safari hii labda wafanyiwe kafara zito, Blanco ana balaa, pengine anaweza kuwa striker bora ambaye hajawahi kutokea...
4 Reactions
21 Replies
1K Views
Wanaosema uongozi wa Yanga unaongozwa kisera na viongozi wao ni Ma check bob wapo sawa, uongozi makini usingeweza kumsajili mchezajinkwa 400m na kumpa mkataba wa miaka miwili pekee Msimu wa...
2 Reactions
6 Replies
709 Views
I'm proudly black man Ila waafrica wengi tuna matatizo sana Sadio mane alienda Bayern Munich tena akawa miongoni mwa wachezaji watatu wanaokula mshahara mkubwa Bayern Lkn tunaofatilia mpira...
1 Reactions
11 Replies
982 Views
🚨 MOHAMED DEWJI ATUA UGANDA. Mfadhili Wa Simba sc na Tajiri namba 17 barani Afrika Mohammed Dewji Yuko mbioni kununua Hisa asilimia 51% katika Klabu ya Express FC ya nchini Uganda🇺🇬 Baada ya...
7 Reactions
7 Replies
1K Views
Kama ambavyo tayari imeshajulikana kwamba mwaka huu tuzo nyingi zitaenda Yanga (winner takes all) Viongozi, mashabiki na wapenzi wa Yanga Afrika kataeni huu uhuni unaotaka kufanywa na Tff kwani...
10 Reactions
30 Replies
2K Views
kufuatia utumbo huu (mistakes) uliofanywa na TFF na Bodi ya ligi inaonesha dhahiri kabisa hakuna watu weledi na wanaojua uongozi wa mpira kitu kama 1) kuamuru mechi ya fainali ya FA kuchezewa...
6 Reactions
20 Replies
1K Views
TFF hebu oneni aibu basi, inakuwaje Tuzo za ligi ya msimu huu zikafanyike mwanzo wa msimu mwingine? Hili linashangaza sana maana mmeamua kuvunja hata kanuni yenu wenyewe kwa sababu Kanuni ya 11...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
My Take Usitukane Wakunga na Uzazi Ungalipo.🤣🤣🤣🤣 https://www.instagram.com/p/C7jdVY-qIcF/?igsh=djM5NWJpenA2OXlq
0 Reactions
6 Replies
362 Views
Usajili wa clabu mbili kongwe Simba na Yanga ikiwa simba imemsajili Freddy na yanga imemsajili guedde Ila ukweli mchungu kuna usajili wa upande moja ni hasara tu so tuta judge kwa kuangalia mechi...
5 Reactions
73 Replies
7K Views
Kama una ungana na Pep Gudiola, pamoja na kuwaunga mkono na kuwaombea dua Ndugu zetu wa Palestina basi like hapa. Spain 🇪🇸 💪🏽 Norway 🇳🇴 💪🏽 Ireland 🇮🇪 💪🏽 Basi kwa leo nawaombeni Mods msifute uzi...
2 Reactions
7 Replies
775 Views
Mchezaji Bora nategemea atoke miongoni mwa wale wachezaji walioshinda tuzo za Mchezaji Bora wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2023/24 wa kila mwezi. Wachezaji Bora tokea mwezi Agosti 2023 hadi Mei 2024...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
I will be short These are the most useless individual in our football. i believe we could have been better than what we are today. 1. Ligi yetu ina panga matokeo kama ligi ya Kenya. Shame...
5 Reactions
29 Replies
2K Views
Shirikisho la soka nchini TFF limetangaza kuwa tuzo za TFF zitakuwa zinatolewa kwenye ngao ya janii
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Man UTD wako shirikisho, Chelsea wanajitafuta, vipi Simba kucheza shirikisho iwe kesi. Cha msingi tukubaliane na matokeo lakini uongozi ukubali kuwajibika, nionavyo hata mwakani hakuna...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Bado hata haijulikani jezi ipoje ila kibegi tangu itoke Dar es Salaam inatrend kuliko usajili wa Yanga na siku ya mwananchi. Kibegi kimezima hata kuhama kwa Mayele ,je Simba day itakuwaje kama...
10 Reactions
26 Replies
3K Views
Wadau hamjamboni nyote? Msemaji yanga kazidisha utani Soma alichoandika 𝟏.𝐖𝐚𝐬𝐢𝐧𝐠𝐞𝐩𝐢𝐠𝐰𝐚 𝟓 𝐰𝐚𝐧𝐠𝐞𝐬𝐞𝐦𝐚. "𝐘𝐚𝐧𝐠𝐚 𝐢𝐧𝐚𝐩𝐢𝐠𝐚 𝟓 𝐭𝐢𝐦𝐮 𝐦𝐛𝐨𝐯𝐮" 𝟐.𝐖𝐚𝐬𝐢𝐧𝐠𝐞𝐩𝐢𝐠𝐰𝐚 𝐧𝐣𝐞 & 𝐧𝐝𝐚𝐧𝐢 𝐰𝐚𝐧𝐠𝐞𝐬𝐞𝐦𝐚 "𝐘𝐚𝐧𝐠𝐚 𝐰𝐚𝐧𝐚𝐧𝐮𝐧𝐮𝐚 𝐦𝐞𝐜𝐡𝐢"...
9 Reactions
36 Replies
3K Views
Kama unaangalia the way yanga wanavyo cheza sioni timu ya kuwatoa kama watarekebisha makosa haya ya mipira ya juu kwa wachezaji wao Yanga hawana mpira wa kupaki eti wajazane wote nyuma kuogopa...
11 Reactions
53 Replies
2K Views
MALENGO YA SIMBA 2023/24 PLAN A[emoji116] [emoji735] KUFIKA NUSU FAINAL CAFCL [emoji735] UBINGWA FA [emoji735] UBINGWA NBC PLAN B [emoji735] FEI TOTO kutwaa ufungaji bora [emoji735] Simba...
1 Reactions
13 Replies
635 Views
Akiwa kwenye mahojiano yanayorushwa kupitia EATV katika kipindi cha Salama na Rais wa Yanga Engineer Hersi, Amesema kuna club ilikuwa imejipa utawala na kujiona wao ni vichwa. Sasa alikuwa kwenye...
13 Reactions
28 Replies
2K Views
Nikiwaambia nitafuteni GENTAMYCINE niwatafutieni Wachezaji mahiri na wa Kazi Kazi kweli hamtaki na mnawapa Jukumu hilo Wanafiki na Wapigaji. Nimeucheza Mpira, Naujua Mpira na Nauchambua Mpira...
24 Reactions
52 Replies
5K Views
Back
Top Bottom