Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Leo aubuhi nimefuatilia shindano la Olympic kule Paris la mbio ndefu ya kilomita 42 na mwanariadha Ndugu Simbu akiwa mshiriki toka Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa kweli matokeo yake hayakuwa...
12 Reactions
73 Replies
4K Views
Ufuatao ni mpango wa ushindi baada ya kuona Watanzania hatuna lengo la kufanya vizuri na tumekuwa wasindikizaji kila olympiki na tumebakia kukumbukia ushindi wa 1980. NADHARIA INAAYOONGOZA: Kwa...
2 Reactions
72 Replies
9K Views
SIAMINI kabisa kama mpango wa Clatous Chota Chama kutoka Simba kwenda Young Africans una baraka za kocha Miguel Gamondi. Naamini hii ni mipango ya siasa zetu za kuoneshana ubabe, kuoneshana uwezo...
8 Reactions
21 Replies
2K Views
FAHAMU THAMANI YA MEDALI ZA MICHEZO YA OLYMPICS 2024 1. Medali ya Dhahabu Thamani: Tshs. Mil 2.56 Uzito: Gramu 529 2. Medali ya Chuma Thamani: Tshs. Mil 1.3 Uzito: Gramu 525 3.Medali ya Shaba...
6 Reactions
61 Replies
4K Views
that's the thread. ⚡⚡BOKA BOLT ⚡⚡ Big signing. He had a slow start in the team. We thought Kibabage would keep the number. He proved us wrong. I had doubted him, not anymore.
9 Reactions
15 Replies
1K Views
Kiukweli inafurahisha sana kuona subs zinafanyika haraka haraka bila kupoteza muda. Niwaombe tu mjitahidi mlete na poda za kuchorea sehemu ya wachezaji kusimama wakati wa fouls na mpira...
2 Reactions
9 Replies
799 Views
Today I just watched the worst match among top teams in Tanzania. Coastal Union can't coordinate 5 passes, and today it's going to CAF. And do what? Singida or KMC could have done a better job...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Beki wa kati na nahodha wa Liverpool, Virgil van Dijk (33) amesema licha ya kuwa mkataba wake umesaliwa na Mwaka mmoja, hajapata mkataba mpya hali ambayo inaonesha dalili kuwa inawezekana maisha...
1 Reactions
1 Replies
780 Views
Ofisa mtendaji wa Azam FC, Abdulkarim Amin 'Popat' alishindwa kuvumilia hadi dakika ya mwisho ya mchezo wa fainali Ngao ya Jamii, na badala yake aliamua kuondoka uwanjani. Soma Pia: Full Time...
7 Reactions
12 Replies
2K Views
Ukiichukia hii timu Awana habari na wewe,,na Wala sio shida zao itakulazimu uukubali ukweli tu maana Amna namna yoyote Ile utaitumia kujifariji, Wao wanachokifanya ni kuacha miguu yao iongee na...
6 Reactions
4 Replies
840 Views
Kesho ni fainali baina ya Yanga vs Azam, mchezo utakuwa mgumu lakini mwepesi sana kwa Azam, kinachonipa matumaini ni kuwa wachezaji watano wa Yanga wanaowategemea yaani Aucho, Aziz Ki, Max...
12 Reactions
79 Replies
6K Views
Jamaa walitoa tahadhari mapema wakasema,mikong'oto heavy ni Kwa ajili ya Vibaka na Walanguzi walioshindikana hapa Barani Afrika,yeyote atakaye ingia kati wakati mikong'oto hiyo ikiendelea...
8 Reactions
12 Replies
1K Views
Kuelekea kufungua ligi mkamaria nimeanza kama hivi nasemaje ama zangu ama za sporty bet msimu huu
4 Reactions
30 Replies
2K Views
Nimepata idea ya kutengeneza game la mpira ambalo litakuwa na leagues za tz tu na pia commentator atakuwa anaongea kiswahili na pia viwanja vitakuwa vya Tz.Je nauliza kama kuna sheria ambazo...
4 Reactions
15 Replies
840 Views
1.Timu yetu ina wachezaji wazuri na wenye uwezo wa kutuletea mafanikio msimu huu, jana kwangu naona upangaji wa kikosi haukuwa mzuri, kwa mfano Yanga wameonekana wakomavu kwa sababu wanategemea...
3 Reactions
37 Replies
3K Views
Katika kuwaenzi na kuwapongeza wanamichezo wetu huko Olimpiki NI wakat sasa Bombardier ipeleke Medali za Tanzanite Paris bila kukosa.
1 Reactions
3 Replies
502 Views
Copa America inaanza tarehe 20 June na kutamatika July 14. Moja ya mashindano kongwe kabisa yakianza 1916 Mataifa 16 yatakiwasha kumpata mbabe kwa mwaka huu wa 2024. argentina na Uruguay ndiyo...
13 Reactions
370 Replies
24K Views
Emmanuel Wanyonyi (20) ameshinda medali ya dhahabu katika mbio za mita 800 kwenye Olimpiki za Paris Agosti 10, 2024. Inadaiwa ndio Mshindi mwenye umri mdogo zaidi kushinda katika mbio za mita 800...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa taarifa ya Kamati ya Hadhi ya Wachezaji, wachezaji watatu wa Simba wamewekewa Pingamizi na vilabu tofauti. Yusuph Kagoma, Awesu Awesu na Valentino. Pingamizi la Kagoma ni Yanga...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Aisee kwa boli lile mutafika mbali sana msimu huu wa mashindano ya CAF. Lakini na nyinyi lambalamba mnazingua bhana munafungwaje migoli ya kidwanzi Kama ile. Azizi Ki umekuwa kocha mchezaji...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom