Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Yafuatayo ni mafanikio ya Al Hilal ya sudan kwenye CAF CHAMPIONS LEAGUE. Kama kuna mtu timu yake ina mafanikio zaidi ya haya basi alete hapa 1966 - Semi-finals 1987 - Finalist 1988 -...
2 Reactions
5 Replies
715 Views
here are my reasons after Al hilal Tripoli review. Al Hilal Tripoli might be considered better than the new Simba SC team: 1. Team Cohesion: Al Hilal Tripoli has had more time to build strong...
8 Reactions
78 Replies
5K Views
UBAYA UBWEGE, UBAYA UNAFIKI Sisi yanga Fc tunasimama na striker la Dunia Mabululu, na nina uhakika tawi la timu yetu huko libya yaani ahly tripoli tunafuzu kuingia makundi ya confedaration , na...
6 Reactions
38 Replies
3K Views
Yanga SC leo ipo uwanjani huko Nchini Ethopia kuchezo mchezo wa klabu Bingwa Afrika dhidi ya CBE SA ya huko huko Ethopia. Mchezo huu utapigwa mishale ya saa 15:00 Alasiri Kikosi ambacho natarajia...
3 Reactions
14 Replies
3K Views
Baada ya Timu Yanga kuthibitisha pasi na shaka, Tena kwa kutoa vithibitisho vya mikataba halali vinavyothibitisha kwamba mchezaji Yusuph kagoma, ambaye ni mali ya SFG kuingia mkataba na Yanga...
3 Reactions
42 Replies
2K Views
Picha hizi mbili zimepigwa jana tarehe 23 Julai 2021 wakati wa tukio la ufunguzi wa michezo ya Olimpiki jijini Tokyo, Japan. Ki-utaratibu, kila nchi iliyopeleka wawakilishi inatajwa halafu...
18 Reactions
57 Replies
8K Views
Simba roho juu, huwenda waka-katwa alama ishu ya mchezaji Yusuph Kagoma kusaini Yanga kisha kuwatosa na kuibukia mitaa ya Msimbazi. Mchambuzi na expert wa mambo ya usajili, Hans Rafael amedai...
6 Reactions
126 Replies
8K Views
Inapaswa afungiwe. Huu ni udhalilishaji sana. Si sawa hata kidogo. Aache uhuni.
7 Reactions
24 Replies
2K Views
Nafasi walizopata wahabeshi Jana akipata Mzize basi Kongo wanakufa mapema sana kwa Mkapa Inonga bado anacheza na jukwaa akitaka labda Yanga imuone ila alifanya makosa mengi sana Nafasi kama zile...
5 Reactions
13 Replies
1K Views
Beki wa kati, Lameck Elias Lawi, ameanza rasmi leo katika kikosi cha Coastal Union kinachocheza dhidi ya Mashujaa FC, mechi ya ligi kwenye uwanja wa KMC Complex. Lawi amejiunga na Coastal Union...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Kagoma hakupaswa kucheza https://www.youtube.com/watch?v=rCEb85MDopM
8 Reactions
98 Replies
4K Views
Tusichoshane, moja Kwa moja kwenye mada. Huyo mwanasheria aliyeonyesha MIKATABA ya Kagoma kuna maswali hapa atusaidie, inaonekana HAJUI kuwa HAJUI! Inawezekana huyu mtu ni aina ya wale wasomi...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Klabu ya Young Africans iliyoko Ligi Kuu ya NBC imefungiwa kufanya usajili kwa kukiuka kanuni za Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA). Uamuzi huo umefanywa na FIFA baada ya klabu hiyo...
8 Reactions
91 Replies
11K Views
Angalia na sikiliza kwa makini katika video hii hapa kocha wa azam akihojiwa
0 Reactions
2 Replies
566 Views
Simon Patrick: Mwanasheria wa Klabu ya Michezo ya Vijana wa Yanga na mkurugenzi wa kisheria wa Klabu ya Michezo ya Yanga, maisha yake yanga. Kesi Ngumu Simon Patrick amekabiliana na kesi zenye...
8 Reactions
60 Replies
3K Views
Jonas Mkude na Mzamiru waongezwe kikosini. Wana uzoefu na mechi kubwa na ngumu, Wana nguvu na wanaweza bado. Ziko mechi zitawahitaji hasa zile zitakozohitaji kugongana na uzoefu,
3 Reactions
19 Replies
956 Views
Kwa wale Wanye kumbukumbu nzuri kwenye Mpira wa Tanzania watakuwa wanawakumbuka awa jamaa vizuri sana; Rodgers gumbo Lucas mashauri Davis mosha Seif Ahmed magari Pelegrinus Rutayuga Hao jamaa...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
Kweli Utopolo wenye akili ni wawili Tu! Kwa hili la Yusuph kugomea kwenda Yanga na jinsi Utopolo wanavyohaha kisa sio Mchezaji bali ni kutaka kutunishiana misuli na Semaji la CAF kweli aliyesema...
9 Reactions
55 Replies
3K Views
Real betis ni miongoni mwa klabu kongwr zinazoshiriki ligi kuu nchini Spain maarufu kama La liga. Kwa njia ya kipekee kabisa ili kuleta mabadiliko katika historia ya klabu hio hususani katika...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Wakuu tujadili kidogo huu udhamini upoje ndani ya timu inayoshiriki kwenye ligi nambari 6 kwa ubora Barani Africa, juu PUMA dhahabu chini NIKE kijani.
3 Reactions
31 Replies
3K Views
Back
Top Bottom