Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Raia wa Burkina Faso, Iron Biby, majina halisi, Cheick Ahmed al-Hassan Sanou aweka rekodi ya mtu mwenye nguvu zaidi duniani 2024. Hii ni baada ya Iron Biby kubeba chuma kilo 231 na kuvunja rekodi...
11 Reactions
36 Replies
2K Views
Unajua wadhakini wa hizi timu Simba Mbet Yanga Sportpesa Endelren kuzibetia GSM ajaja hapo
0 Reactions
3 Replies
484 Views
.
0 Reactions
0 Replies
399 Views
Hiyo mfanyakazi wenu si muadilifu kwenye kazi yake, hasa anapochukua matukio ya picha Yanga inapocheza na timu nyingine. Anachofanya ni kuipendelea Yanga kwa kuficha baadhi ya matukio yanayoibeba...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Kama utakuwa professional kwenye soka lanchi hii jaribu kuweka bikosi vya Azam na Simba kwenye mzani .... lazima utaona kuwa kikosi cha Azam kina uwezo kuliko kile Cha Simba ...,. Kimasihara...
8 Reactions
151 Replies
6K Views
Match Day 🏆 #NBCPremierLeague ⚽️ Young Africans SC🆚KMC FC 📆 29.09.2024 ⏰ 2100hrs 🏟 Azam Complex #Daimambelenyumamwiko# KIKOSI CHA YANGA KINACHOANZA LEO. KIKOSI CHA KMC UPDATES.... 04'...
11 Reactions
346 Replies
13K Views
Mpira si mchezo rahisi kama wanavobwabwaja wasojua mpira kuhusu matokeo ya yanga. Duniani kote mpinzani akija na mbinu sahih ya kuzuia, matokeo hupatikana kwa matumizi sahih ya nafasi chache...
7 Reactions
12 Replies
966 Views
Hizi kauli zina ukweli ndani yake? "Nilipokuwa nacheza Azam tulikuwa tunajiandaa sana kwenye mechi ya Yanga SC Kuliko ya Simba " - Amri Kiemba, Mchambuzi "Kuna timu nilikuwa nikiifunga (SIMBA)...
7 Reactions
66 Replies
3K Views
Kupitia ukurasa wao rasmi wa Simba Sports Club wanaandika: Kwa tunachokwenda kufanya leo saa 5:00 usiku mtegemee malalamiko mengine Je, wana jambo gani hawa watu?
0 Reactions
13 Replies
888 Views
Japo utambulisho bado haujakamilika, ila nimechagua kuja kutoa siri. Nimechagua kuja kutoa pongezi. Katika nyuzi zilizopita nilitoa angalizo kuwa huwezi hitaji aina fulani ya mpira, then unaenda...
15 Reactions
48 Replies
3K Views
"Salmin Hoza hana yeyote wa kumlaumu, refa kwanza hakuwa karibu, kwa hiyo alipaswa kufahamu hilo na unapocheza namna ile unampa advantage yule ambaye anashambulia kujiangusha. Kwangu mimi haikuwa...
2 Reactions
26 Replies
1K Views
Nadhani leo nimeeleweka baada ya mechi ya Dodoma v Simba. Walau tutaanza kuchagua maneno na kuchunga ndimi. Tuendelee kujenga timu
6 Reactions
23 Replies
1K Views
Katika uamuzi wa hivi karibuni kutoka kwa Mahakama ya Usuluhishi wa Migogoro ya FIFA (FIFA Dispute Resolution Chamber), Yanga SC, moja ya klabu maarufu za mpira wa miguu nchini Tanzania, imetakiwa...
7 Reactions
61 Replies
4K Views
Wakuu, Leo VAR imeanza kutumika huko Mauritania kwenye ligi yao Sisi huku licha ya uzinduzi kufanyika na ligi kuanza TFF wanasingizia vibali kutoka CAF na FIFA. Huu ni utapeli wa mchana kweupe...
4 Reactions
11 Replies
825 Views
1. Kocha Fahdu anatakiwa aaambiwe ugumu wa mechi za mikoani otherwise atadondosha sana pointi ugenini hasa kule Mbeya, Kagera, Singida na Kigoma. 2. Fahdu amezidiwa kabisa kimbinu leo na Dodoma...
7 Reactions
26 Replies
4K Views
Habari ya wakati huu wanaJf, kama title ya uzi inavyojieleza shuka nao. Chess ni moja ya michezo ya zamani zaidi na ya kimkakati duniani, yenye historia ndefu inayorudi nyuma zaidi hadi karne ya...
0 Reactions
0 Replies
578 Views
Sina mengi sana ila habari zimeshavuja. Mnapenda sana uzawa kwenye timu,hamzingatii uwezo wa mchezaji na kuwakandia wachezaji wa kigeni kuwa si lolote na niwapita njia tuu. Mnaigawa timu kwa...
2 Reactions
11 Replies
945 Views
Nimeshuhudia mechi 2 ambazo Simba kacheza dhidi ya Azam na Dodoma Jiji, wamenufaika na waamuzi ambao uwezi kusema kwamba awajui Sheria na kanuni zinazoongoza Mpira la hasha ni kwamba wanajua...
0 Reactions
8 Replies
564 Views
Cristiano Ronaldo alisilimu na sababu ni ya kushangaza Hadithi Utangulizi: Hakuna mtu angetarajia kwamba mmoja wa wachezaji wakubwa wa mpira wa miguu katika historia, Cristiano Ronaldo, siku moja...
11 Reactions
75 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…