Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Wojciech Szczęsny, mlinda lango wa zamani wa Juventus na timu ya taifa ya Poland, amesajiliwa rasmi na FC Barcelona. Barcelona ilimchukua Szczęsny kama suluhisho la dharura baada ya Marc-André ter...
2 Reactions
6 Replies
712 Views
Kama ulikuwa unawaza nahodha wa Simba, Mohamed Hussein 'Tshabalala' anaweza akatundiga daruga hivi karibuni, basi sikia majibu yake. Tshabalala amejibu swali aliloulizwa na Mwananchi kutokana na...
2 Reactions
11 Replies
958 Views
Hapo vip!! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Tabiri matokeo
4 Reactions
41 Replies
2K Views
Manake nakumbuka pia Baba yake Mwanae alipoachwa alifura kweli kweli utadhani Tanzania Mchezaji ni Mwanae tu.
2 Reactions
6 Replies
823 Views
Naam wanajukwaa, Goli alilofunga Aziz K dhidi ya CBE na kutoshangilia lilikua na maana kubwa sana tena sana na hilo goli alifunga akitokea Sub baada ya Chama kutoka. labda kuna mashabiki watakua...
7 Reactions
18 Replies
2K Views
Kiungo wa Manchester City, Matheus Nunes anashikiliwa na Polisi akituhumiwa kukwapua simu ya shabiki ambaye alitaka kumpiga picha wakati alipokuwa msalani kwenye ukumbi wa starehe usiku. Licha ya...
0 Reactions
1 Replies
868 Views
Kila ukiangalia mechi wanazocheza prison huoni mashabiki zaidi ya askari wachache sana wanaoimba na kucheza muda wote wa mechi Hata ken gold wajuzi wanamashabiki kuliko prison Tatizo ni Nini...
4 Reactions
34 Replies
1K Views
I will be short. tulisema tutaelewana tu with time, juzi tu hapa alisema games za community shield VAR inaweza kutumika. leo kuna game ya community shield VAR iko wapi? incompetence tu...
0 Reactions
1 Replies
595 Views
Kikosi cha Timu ya Taifa "Taifa Stars" kitakachoingia kambini kujiandaa na michezo miwili ya kufuzu AFCON 2025 vs DR Congo Oktoba 10, 2024 na Oktoba 15, 2024. Pia soma: ~ Samatta, Msuva watupwa...
2 Reactions
41 Replies
3K Views
BUDGET YA VAR BUNGE LIMEPITISHA✅ PESA WAMEPIGA, VAR AMNA , TUTAELEWANA TU NA KARIA
3 Reactions
7 Replies
757 Views
Waamuzi wana makosa mengi sana Kuna muda unaweza hisi kuna maelekezo kutoka sehemu Ligi yetu imekua makosa ya kibinadamu yamekuwa mengi sana, VAR ni muhimu
2 Reactions
23 Replies
872 Views
Nilishaonesha sana Ubovu wa kitwakimu huyu bwana akisimamia timu mara 7 tofauti. Simba wanabaki kumpamba tu kwenye media haita badili kitu kuhusu uwezo wake. Kinachomfanya aombe Timu mbovu sio...
5 Reactions
42 Replies
2K Views
Enzi zetu za ligi za mchangani mtu anayetumia mguu wa kushoto huwa ama acheze namba tatu,sita na kumi na Moja (wahenga watanielewa) Nashangaa Balua anatumia mguu wa kushoto lakini anapangwa namba...
10 Reactions
63 Replies
3K Views
Video clip iko insta kwenye ukurasa wa AzamTv Refarii katoa penati rahisi sana na ambayo hata watoto wa Umiseta hawawezi kupewa. Itafute hiyo clip, wakati Tanzania Prisons wakipewa penati...
1 Reactions
8 Replies
935 Views
Jana tarehe 29 Septemba kwenye Madrid derby golikipa wa Real Madrid, Thibaut Courtois alitupiwa kifuko cha Kinyesi a.k.a Nnyaa na mashabiki wa Atletico Madrid.
0 Reactions
2 Replies
695 Views
Habar Mwana Jf Jukwaa la Sport. Siku nyingi sana nimekua nikiliwaza hili ila leo nimeona nilianzishie uzi. Baada ya ule uzi wangu wa kuhoji kuhusu CAMARA kupewa Man of the Match kuchukuliwa na...
1 Reactions
5 Replies
870 Views
Vigogo wa Tanzania, Simba SC wamethibitisha kumsajili Elie Mpanzu Kibisawala kwa mkataba wa miaka miwili akitokea As Vita Club. Mpanzu anatarajiwa kucheza mechi yake ya kwanza ya Premier League...
7 Reactions
37 Replies
4K Views
Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limependekeza posho ya kila mwaka ya dola za Kimarekani 50,000 sawa na Shilingi Milioni 136.5 kwa Mwenyekiti wa Chama cha Vilabu vya Afrika (African Club...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
I will be short we are fans of sports since we avoid politics. media ni machawa wa tff na bodi ya ligi. ni shameful mtu anaona kabisa ukweli Ila njaa na uchawa una haribu mpira wetu. imagine...
1 Reactions
7 Replies
590 Views
Wataalam wa Sayansi ya mpira tujadiliane kidogo kuhusu hili linaloendelea mitandaoni Tangu mechi ya kwanza ya Ligi Kuu, Yanga akiwa ugenini dhidi ya Kagera Sugar licha ya kushinda bao 2-0 bado...
1 Reactions
8 Replies
843 Views
Back
Top Bottom