Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Wazee Leo nimebishana na mtu umu in comments anadai ZIDANE was talented than MESSI nikiangalia hoja zake nikimuwekea statistics anakataa individuals achievements pia anazikataa nikimuuza kipaji...
6 Reactions
131 Replies
4K Views
Leo Jumanne, Taifa Stars itakuwa dimba la Benjamin Mkapa kwa kazi moja tu kusaka ushindi dhidi ya DR Congo katika mechi ya kuwania kufuzu AFCON 2025 nchini Morocco. Mechi hii itachezwa saa 10:00...
12 Reactions
301 Replies
18K Views
Huwa ninaona kwenye mechi za caf mabingwa na shirikisho kuna zawadi ya pesa taslim kwa kila goli linalofungwa kwa timu kama Yanga, Simba, Azam, n.k. Kwenye mechi za taifa stars hio zawadi ipo...
0 Reactions
8 Replies
914 Views
Wallace karia kachukua washikaji zake wote kawaweka timu ya Taifa, inshort ile ni timu yake na marafiki zake, amna professionalism yoyote iliyo tumika, wote wale ni failures wa Simba SC...
2 Reactions
32 Replies
2K Views
Baada ya kufuatilia nimegundua kwamba wengi hawajafurahishwa na kipigo, lakini pia hawajahuzunishwa. Kauli zao hazionyeshi kama wamehuzunishwa, Wengi wanasema timu yao ni Timu ya Serikali au ni...
8 Reactions
59 Replies
2K Views
Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola anatajwa na vyanzo mbalimbali kuwa yupo kwenye listi ya makocha wanaowaniwa na Chama cha Soka cha England (FA) kuinoa timu ya Taifa hilo. Uamuzi huo...
0 Reactions
7 Replies
747 Views
Tumeshuhudia timu kubwa barani Afrika kama Al ahly, Wydad AC nk. zikiwatoza faini wachezaji wake na wengine kunyimwa mishahara pindi wanapofanya vibaya hususan katika michezo ambayo ilikuwa ndani...
2 Reactions
6 Replies
440 Views
Shirikisho la Soka la Lipya (LFF) limekosoa kitendo cha Nigeria kugomea kucheza mchezo dhidi ya Taifa hilo katika Kuwania Kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika 2025 uliopangwa kuchezwa Jijini...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Yaani nchi imekaa kimchongo Sana hii Tukishinda Nani Kama Mama Tukifungwa tatizo Samata Tukifungwa Mara mzinze sijui kafanyaje!! Sometime Bora tubondwe tu!!
3 Reactions
4 Replies
283 Views
Kichwa cha habari kinajieleza, team ni ball papwatu papara papatu. Mbele haichezi katikati hainyumbuliki nyuma inqyumba na pembeni haijai. Yaani bora liende na kubaki kubahatisha tu magori na...
4 Reactions
36 Replies
2K Views
Leo timu ya taifa ( taifa stars) imenyolewa kwa chupa mbele ya watanzania pamoja na hamasa iliyokua uwanjani na mitandaoni Binafsi siamini katika hamasa kuliko kujishuhulisha. Imewezekanaje...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Katika hali isiyo ya kawaida, Jamii imeaminishwa kuwa kama Yanga atashinda mchezo wa Jmosi dhidi ya Simba basi itakuwa ni mara ya kwanza kwa hawa Watani mmoja kufungwa mara 4 mfululizo. Lakini...
5 Reactions
9 Replies
8K Views
Kuna utamaduni wenzetu wanao, mchezaji akifikisha umri au stage fulani anatangaza mwenyewe kwamba mwaka huu ni mwaka wangu wa mwisho kutumikia timu ya taifa. Hii ina faida kubwa sana kwa...
0 Reactions
11 Replies
937 Views
Nimeangalia clip Hadi nmeshangaa Zidane anagaragazwa kama mtoto na Inesta sasa izo sifa mnazompaga ZIDANE Huwa zinatoka wapi? Sio Kila Cha kale ni dhahabu
6 Reactions
51 Replies
2K Views
Wachezaji wa Tanzania hawana Uzalendo na Timu yao ya Taifa, wanapenda vilabu vyao zaidi na kimsingi wanapenda pale wanapolipwa zaidi. Sijui wakiwa timu ya Taifa huwa wanalipwa sh ngapi, lakini ni...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Timu ya Taifa Leo imepokea kipigo. Hii timu tatizo kubwa ni benchi la ufundi. Hao wenye dhamana ya kuajiri benchi la ufundi inawezekana nao hawana huo utaalamu wa kuajiri. Huwa wanaweweseka...
5 Reactions
12 Replies
833 Views
🇩🇪 Mesut Özil career stats 🌟 🏟 696 Games ⚽️ 120 Goals 🎯 258 assists 🤝 378 goal contributions 🏆 1x World Cup 🏆 1x Euro U-21 🏆 1x Laliga 🏆 1x Copa del Rey 🏆 1x SuperCopa de España 🏆 4x FA Cup 🏆 2x...
6 Reactions
4 Replies
673 Views
Timu ya Taifa ya Nigeria “Super Eagles” imesema haitacheza mchezo wake dhidi ya Libya kuwania, leo Jumanne Oktoba 15, 2024 baada ya msafara wa Wachezaji wao kutelekezwa Uwanja wa Ndege usiku mzima...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Tanganyika na Zanzibar tunashindwa nini kuunda timu Moja imara ya kushinda makombe Africa na duniani. Shida ni vipaji hakuna, makocha hakuna, mashabiki haukuna na uongozi wa nchi? tumerogwa?
0 Reactions
11 Replies
513 Views
Hebu badilikeni,mnachelewa sana kutuma pesa zetu tukushinda mikeka,hebu igeni kwa mkeka bet.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom