M- BET Badilikeni

mawelewele

JF-Expert Member
Sep 17, 2016
277
135
Hebu badilikeni,mnachelewa sana kutuma pesa zetu tukushinda mikeka,hebu igeni kwa mkeka bet.
 
hao jamaa walinichosha juzi
zawadi ya perfect 12 wameshinda watu 9
badala kila mtu wampe mil 27 wao wameigawanya hiyo mil 27 mara 9
huu wizi
hawa jamaa wamekaa kiwizi wizi tu
 
Back
Top Bottom