Kwanza mtambue kuwa Haji Manara hajawahi kuwa mwana Yanga SC kutoka Moyoni bali ni mwana Simba SC lia lia aliye Yanga SC kwasababu tu za Maslahi mapana ya Kiuchumi.
Pili alichokifanya Haji Manara...
Kumekuwa na madai ya mashabiki wa Yanga humu jukwaani kuwataka bodi wawajibu barua yao ya kugomea mechi itakayopangwa na bodi, hatimaye bodi wamevunja ukimwa kwa kuwaambia Yanga kuwa hakuna points...
“Unaweza kuendesha Watu ila huwezi kuwaendesha wakati wote, unaweza kuburuza watu ila huwezi kuwaburuza wakati wote, unaweza kuwaongopea watu ila huwezi kuwaongopea wakati wote, kuwa makini na...
Mpira ni Makombe na sio rekodi za points,
Simba huo ukubwa mnaojipaga mbele ya Yanga mnautoa wapi?
Hua najiuliza tu.
My favourite player Ronaldo ana magoli Mengi kuliko mchezaji yeyote alie...
Tofauti na wakati wowote, tangu siku walipotangaza kutopeleka timu uwanjani, mashabiki wa Simba wamekuwa down kidogo, zile tambo na mbwembwe zimepungua na hata wakijadili jambo hili wanajikita...
Kwenye barua ambayo TPLB imewajibu Yanga yenye kumbukumbu namba TPLB/2024/625 ya Machi 16,2025 imewaambia Yanga hawawezi kupewa alama tatu kutokana na kuwa hakuna KANUNI ya Ligi Kuu inayoamuru...
Mara nyingi mambo ya Simba na Yanga yametumika kuwatoa waTanganyika kwenye mijadala mizito yenye tija kitaifa. Wadadisi wa mambo wamenyetisha kuwa hata huku kuahirisha -ahirisha mchezo bila sababu...
Nimeshangazwa na maelezo kutoka Bodi ya ligi (TPLB) kuhusu sababu ya kuahirisha mchezo, Nimegundua nguvu kubwa inayotumika na bodi kujisafisha na kujitoa makosa yake.
Sababu za kuahirishwa mchezo...
Timu ya Singida Black Stars inatarajia kuzindua uwanja wake mkoani Singida, uzinduzi utafanyika Marchi 24 kwa mchezo wa Kirafiki dhidi ya Yanga SC.
Uwanja unaitwa AIRTEL STADIUM ambao wao ndio...
Hizi hadaa ambazo uongozi wa Yanga pamoja na GSM wanaendelea kufanya kuhusiana na ujenzi wa uwanja wa Yanga pale Jangwani ni geresha tu ambazo hazitakuja kuzaa matunda yoyote zaidi ya kuwapotezea...
Kwa kutumia tu akili ya kawaida, ni wazi kuahirishwa kwa hii, mechi sio jambo lililozuka tu, bali kuna uwezekano mkubwa lilikuwa ni tukio la kupangwa na ndio maana Simba wakagoma kisha baadae Bodi...
•Tumemshtaki KARIA?
•Tumeishtaki TFF?
•Tumeishtaki Bodi ya ligi?
•Tumeishtaki Simba SC?
Naona uchambuzi wa tetesi ni mwingi kuliko uhalisia, hatusikii shauri linavyosema na uainisho wa vifungu...
Emmanuel Arnold Okwi hii leo ametangaza kustaafu kuitumikia timu ya Taifa ya Uganda akiwa na umri wa miaka 32 baada ya kuhudumu kwa miaka 16 na 'The Cranes'.
Nyota huyo wa zamani wa Simba na...
Katika pita pita zangu mitandaoni, nimeshuhudia kauli zinazoshangaza ,eti Yanga inamuogopa Simba! Jamani, kweli hii ni Yanga mnayozungumzia? au kuna Yanga nyingine? Hakuna timu hapa Tanzania...
Hili ninalisikia mashabiki hawa wakilizungumza sana kama hoja yao dhidi ya Simba kwamba hawakufuata "miongozo ya kanuni"
Wakizungumzia suala hili wanashupaza shingo na wakiamini wako sahihi sana...
Bila shako mko salama jf members wote, nawatakia kwaresma njema na mfungo wa Ramadhani.
Ninatarajia kushiriki Kigali peace marathon ambayo hufanyika kila mwezi June kila mwaka, Kigali, Rwanda...
Kampuni hii ya michezo ya bahati nasibu imepiga bingo kwa zaidi ya asilimia 60. Ikunbukwe kuwa south Kuna miamba wengine wa betting kama betway na hollywoodbet . Hata hivyo mapato hayo...
Nimeona nijaribu kulijadili hili swala kimantiki bila ya kuleta ushabiki wa kitimu.
Kwanza kabisa watu wengi wanajadili Wala hawajui jinsi bodi ya ligi inavyoundwa na yenyewe inavyoendesha ligi...
Nawasha TV nakuta Kuna mechi kati ya Yanga Princess na Simba Queens kwenye uwanja wa KMC.
Mpaka Sasa naona tayari Simba Queens wametangulia moja bila dhidi ya Yanga Princess.
Kiukweli kitendo cha kupeleka timu uwanjani wakati Bodi walishatoa taarifa kuwa mechi haipo ulikuwa utoto wa kiwango cha kimataifa.Bodi ndio wenye mamlaka, wameshasema mechi haipo wewe unatumia...