Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

hisia.Huku Profesa na ngumbaru wote ni sawa. Mhutubu na Maamuma wote ni sawa,Mpumbavu na Mwerevu ni sawa. Huku hakuna anayesingizia kwamba TLS hajafanya hili,au sijui Emmaus Bandekile Mwamakula...
3 Reactions
8 Replies
535 Views
Nitawashangaa Kama Mtakubali Kupeleka Timu kwa Tarehe Itakayopangwa. Mkumbuke Mna Sakata la Kumitmua Kocha Miguel Gamond Siku Chache Kabla ya Kuanza Kwa Mashindano ya Klabu Bingwa Hali...
7 Reactions
31 Replies
1K Views
Wakili msomi Boniphace Mwabukusi amelizungumzia suala la Yanga kisheria. Huyu ni mbobevu kwenye haya mambo ya kisheria.
14 Reactions
106 Replies
4K Views
Yanga imeimarika sana na huenda miaka michache ijayo kama hawataharibu hii team basi wakachukua hili kombe la wanawake mara 5 mfululizo. Usajili wa dirisha dogo umefanywa na mtu makini sana na...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Kupitia video yao ya leo vijana hawa wametoa wito kwa watanzania kususia mechi zote za timu ya taifa maana TFF inawachezea akili. Akikazia zaidi, mchokonozi mmoja anayefahamika kama Joseph...
1 Reactions
13 Replies
865 Views
Nimefatilia vizuri mahojiano ya mwenyekiti wa Bodi ya ligi ndugu Steven Mguto na chombo cha habari cha mwananchi digital...kimenifanya nitafakari upya mtazamo wangu kuhusu hili sakata...
3 Reactions
13 Replies
690 Views
Nimeamua kulitumia Jukwaa hili la habari za Michezo kwa lengo la kufikisha ujumbe kwa benchi la Yanga SC. Ndiyo ni ukweli usiopingika Huu, Kibwana Shomari ni talanta kubwa sana inayofanyiwa...
1 Reactions
9 Replies
647 Views
Imani za kishirikina ni moja ya changamoto zilizopelekea miaka hii ya soka kutokipiga kwa Mkapa mnamo mwanzoni wa mwezi March,japo kuwa hakukuwa na sababu za msingi kuhairishwa kwa mechi ya dabi...
0 Reactions
3 Replies
397 Views
Nimesikitishwa na kituo cha clouds FM kusema ati Yanga na SBS ni ndugu na wana jambo lao Moja Clouds FM ni media ambayo imejijengea heshima Kwa muda mrefu, kwanini Sasa inataka kujiondelea hiyo...
7 Reactions
85 Replies
3K Views
Sakata la kuahirishwa kwa mechi ya Dabi ya Kariakoo kati ya Yanga na Simba, iliyokuwa ichezwe Machi 8, 2025, limechukua sura mpya. Awali, suala hili lilionekana kama masihara, lakini sasa...
6 Reactions
132 Replies
7K Views
Barcelona wamepanga kuweka dau kubwa la kutaka kumnunua tena Lionel Messi kabla ya msimu wa 2026/27, kwa mujibu wa ripoti kutoka nchini Argentina. Messi alihudumu Barcelona kwa zaidi ya miongo...
4 Reactions
5 Replies
825 Views
Goli la Aziz Ki lilivyokataliwa eti wakaenda CAS kuomba pwenti tatu.ujinga wa hali ya juu. Nimeanza kufatilia mpira sijawahi kuona goli lililokataliwa na refa uwanjani akapewa mezani. Pia...
5 Reactions
18 Replies
845 Views
Rais wa TFF Wallace Karia...."Yanga SC waendelee tu na Sinema zao juu ya Mechi yao Kuhairishwa" Rais wa TFF Injini Hesri Said..."Yani mwana Yanga SC mmoja katoka zake kula Mihogo alafu anataka...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Mamlaka za michezo Tanzania, zifanye maamuzi haya, ili iwe fundisho kwa timu zozote katika kufanya ya kipuuzi ya aina hii, na kusababisha hasara kubwa kwa kilabu mwenyeji.
2 Reactions
23 Replies
845 Views
Wanasema Simba hakugomea mechi,ila wao ndio walighairisha. Swali ni je,kati ya wao bodi na Simba nani alikuwa wa kwanza kutoa taarifa rasmi kuwa hakutakua na mechi? Simba walitangaza usiku wa...
4 Reactions
6 Replies
621 Views
Unajua watu wanaongea tuuu. Unajaribu kuwaelewesha, unajaribu kuwaonyesha njia lakini waaapiii. Wamekaza mafuvu hawataki kabisa kusikia! Sifa mojawapo ya wanaume ni kwamba tunasimamia kile...
4 Reactions
24 Replies
1K Views
Nyota wa Golden State Warriors Stephen Curry amekuwa mchezaji wa kwanza kufikisha pointi 4,000 za pointi 3 katika katika historia ya NBA na kuongeza wasifu wake wa mchezaji bora wa Kikapu kuwahi...
3 Reactions
27 Replies
1K Views
Sitaki swali lolote hapa ila kama una Macho mazuri yenye kuangalia vyema tafuta Clip ya Mechi ya Jana kisha tizama Wachezaji wote (hasa wa Timu iliyoshinda) na rejea hapa uniambie umegundua nini...
3 Reactions
12 Replies
753 Views
Bodi ya ligi inahanyahanya iseme nini baada ya kuamrishwa na Simba ifute mechi ya derby. Kama takukuru ingethibitisha kuwa Yanga imetoa rushwa kwa yeyote ili kushinda mechi bado bodi ya ligi...
5 Reactions
25 Replies
1K Views
Tuna UTOTO MWINGI NA USHAMBA. HILI SUALA NILIMWAMBIA MTU AKAISHIA KUNIITA MIMI MKIA. TUMEKUWA KAMA LAST BORN ALIYEDEKEZWA SANA NA ANAYEPENDA KUDEKA.
6 Reactions
83 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…