Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Nimependa jinsi TV za ulaya zinavyoonesha takwimu za magoli aliyofunga mchezaji husika. Kwa mfano mchezaji kafunga goli kwenye mechi, basi mtaelezwa hilo ni goli lake la ngapi kwenye ligi na...
7 Reactions
35 Replies
1K Views
Niseme tu Meza mliyotikisa Round hii Nyie Bodi ya Ligi ilikua na vinywaji vya gharama.
10 Reactions
87 Replies
4K Views
Tunachotakiwa kujua na kukubali bila kuwa na shaka, ni kwamba mchezo kati ya Simba na Yanga ni moja kati ya Dabi kubwa Afrika. Hivyo, kufanya jambo lolote kinyume na taratibu kuelekea mchezo ni...
3 Reactions
19 Replies
839 Views
Muda mchache kutoka sasa Saa 4 dakika 45 za usiku kutakua na mechi 4 za Robo Fainal michuano ya Uefa Nations LEAGUE, updates zote utazipata hapa.. Binafsi naangalia mechi ya Netherlands vs...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Leo nimekumbuka kisa cha timu yetu miaka ya 1990,kipindi hicho ukimwi ni ugonjwa hatari kweli kweli ,hakuna cha ARV wala nini. Tulikuwa na golikipa muathirika na yeye alijijua kuwa ameathirika...
3 Reactions
7 Replies
788 Views
Taifa stars ana mchezo mgumu dhidi ya Morocco kuelekea kufuzu kwa Fainali za Kombe la Dunia za Mwaka 2026 pale Marekani. Ni mechi ya ugenini ambayo itapigwa saa 6:30 usiku. Tabiri utabiri wako...
2 Reactions
36 Replies
2K Views
Hizi ni sababu za kwanini Yanga imechaguliwa kuzindua uwanja wa Airtel stadium 1. Ubora wa kikosi. Kila timu duniani hupenda kupata mpinzani competitive na sio mpinzani laini .....hivyo Yanga...
3 Reactions
52 Replies
2K Views
Mwandishi: Asalam Aleykum Kaka Dullah, habari ya uzima wako? Dullah: Waleykum Salam Dada yangu, tunamshukuru Allah kwa neema na rikizi zake. Mwandishi: Kwanza kabsa napenda kuweka wazi kuwa wewe...
0 Reactions
2 Replies
473 Views
Picha ya pamoja ya mchezaji Aziz Ki akiwa na Mama mkwe wake, mama mzazi wa mrembo Hamisamobetto.
5 Reactions
4 Replies
1K Views
Mwaka 2018 tulisafirisha maiti ya dogo mmoja shabiki wa Simba kwenda kwao upareni Lengo ilikuwa tuzike Kesho yake yaanu tarehe 24 siku moja kabla ya Xmas Coincidence Simba ikawa inacheza na...
16 Reactions
64 Replies
3K Views
Vikao vya bodi ya ligi vimekuwa virefu wakitafuta kosa la Yanga ila hawalipati, Jibu ni kujaribu kumbambikia Yanga kesi kesi ili ku balance ili Yanga na Simba waonekane wana makosa na wapewe...
7 Reactions
70 Replies
3K Views
Namba Moja ni Labani og , alikuwa kabebwa kwenye boda na ngara23 . Shadeeya na Numbisa walikuwa kwenye IST wakichukua tukio zima Kwa Tekno zao. πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜†πŸ˜‚
8 Reactions
11 Replies
584 Views
Ni kwamba Masela ( Wahuni ) wote wa Ubungo ( hasa pale UFI ) pale Manzese na Magomeni ( Migomigo ) tunakujua fika kuwa Wewe ni Yanga SC 'lia lia' na wengine ni 'Mashemeji' zako vile vile kwa Dada...
11 Reactions
32 Replies
4K Views
Nashawishika kuuliza hivyo kwakuwa naona Priva ni kama rasmi sasa ameshika mikoba ya usemaji wa Club. Je amefungiwa? Kama amefungiwa taarifa itatolewa lini? Au wanasubiri taarifa ya bodi ya ligi...
0 Reactions
3 Replies
383 Views
"Singida Black Stars sio mali ya Mwigulu Nchemba, Singida ni mali ya kampuni ya Highland Estate (Mbalali) ambayo ilikuwa ikimiliki Ihefu Sports Club". ©️ Peter Andrew. Afisa habari wa Singida...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Kila mwenye akili timamu lazima ajiulize chanzo cha ukwasi wa timu ya Singida Black Star 1. Hii timu inamilikiwa na nani? Mbona boss yupo kwenye mabano, ingekuwa kama Azam ya tajiri Bakhresa, Ken...
14 Reactions
57 Replies
4K Views
Uwanja wa Singida Black Stars ambao unazinduliwa leo na mechi ya kirafiki kati ya Singida BS dhidi ya Yanga SC Leo, Machi 24, 2025, Singida Black Stars inazindua rasmi uwanja wao mpya uliopo...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Kwa Tanzania kila Halmashauri ikiamua inaweza jenga kiwanja mfano wa kmc au singida Black stars kama wakiamua mfano Halmashauri ya ubungo, temeke, na kigamboni wanaweza kuwa na kiwanja kama kile...
0 Reactions
0 Replies
230 Views
Hapa binafsi nilijua ni Azizi Ki akimpa mkono Che Malone. Lakini kumbe siyo. Hapa nilijua ni Drogber Lakini hapa ndio alinichanganya zaidi
12 Reactions
105 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…