Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Bila kupoteza muda asalaam alaykum Bwana asifiwe. Msiokua na mungu habari zenu. Azam tv mmekua na tabia ya kukata matangazo ya mpira yakiwa mubashara. Jambo hili linakera na kuzua sinto...
4 Reactions
15 Replies
909 Views
1. Hivi Yanga SC ingekuwa inaongoza Alama kati ya Sita (6) au Saba (7) hizi Kelele zao za Bodi ya Ligi tungezisikia leo? 2. Bodi ya Ligi ambayo Yanga SC ilikuwa Bingwa kwa Misimu Mitatu mfululizo...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Simba SC, wameweka rekodi kwa kuwa klabu pekee kutoka Afrika Mashariki kuwemo kwenye orodha ya vilabu vya kihistoria ya Global Database Club (GDC). Simba SC sasa inajiunga na vigogo wa soka...
6 Reactions
21 Replies
2K Views
Salaam wakuu....maafande wi Nimeona watu mitandaoni wakizungumzia kuwa Yanga Kila siku wanatoa matamko ...ila Simba wapo kimya hii ni Kwa sababu zifuatazo 1) Fear of unknown ( Kwa mliokimbia...
8 Reactions
84 Replies
4K Views
Kwa aina hii ya udhaifu wa uongozi wa TFF/TPBL, sitashagaa mechi ya Simba na Yanga ikaendelea kupigwa kalenda. Najaribu kuwaza, kwa kuwa Yanga wamedhamiria kutocheza, siku ikipangwa tarehe ya...
0 Reactions
2 Replies
434 Views
Hakuna tushio la usalama kubwa kama pale watu wanaona kuna kikundi cha kihuni ambacho hata polisi wanashindwa kukidhibiti na kinafanya kinavyotaka. Maana yake,ni ishara tosha ya kusema mmeshindwa...
1 Reactions
5 Replies
372 Views
Ni  mechoshwa na mijadala isiyoisha ya kariakoo Derby...kuendeleza mijadala ya aina hii inayotawaliwa na hisia na ubishi ni kupoteza muda. Tanzania is unlucky for being grouped with african...
13 Reactions
52 Replies
2K Views
UCHAGUZI MREFA (MBEYA) Habari ndugu zangu Wanamichezo. Leo ni siku ya usaili kwa wagombea wa nafasi mbalimbali kwenye Chama cha Mpira Mkoa wa Mbeya (MREFA). Taarifa zilizipo ni kwamba Kamati ya...
1 Reactions
12 Replies
653 Views
Kipindi mnafurahia pesa za goli la mama basi mfurahie pia mkiombwa kuingia uwanjani, Mtatumia busara na kuziacha kanuni kama TPLB, Bodi ya wakurugenzi na wadhamini Yanga na Simba si...
1 Reactions
6 Replies
521 Views
Ramirez amezua balaa huko Stanford bridge Nusura walinzi wamzuie uwanja wa mazoezi wakidai soo yeye Kumbuka chelses na liverpool zimewakusanya malegend wao kukipiga mechi ya kirafiki Chelsea...
11 Reactions
33 Replies
2K Views
Is this True maana imeniwia vigumu kuamini kwa ukubwa wa Simba
2 Reactions
11 Replies
635 Views
Hii si kawaida huyu dogo atakuwa ametumwa na Mikia. Yanga huwa hatuna mambo kama haya. Tunasubiria kusikia Hersi atasemaje juu ya jambo hili. Atupe maelekezo au kama si yeye basi manara.
7 Reactions
13 Replies
1K Views
Hii ni kumi bora yangu kwa wachezaji niliowahi kuwaona LIVE wakicheza kwa hapa Tanzania. 1. Edibily Lunyamila 2. Mohamed Hussein Mmachinga 3. Amir Maftah 4. Mrisho Ngasa 5. Mbwana Samatta 6...
4 Reactions
49 Replies
5K Views
USHAURI WA BURE KWA RAIS NA MAKAMU WA RAIS WA YANGA NA KAMATI YAO YA UTENDAJI NA MSIMAMO WA WAPENZI NA WANACHAMA WA YANGA Kutokana na ukubwa wa Timu yetu na mtandao mkubwa uliopo miongoni mwa...
6 Reactions
33 Replies
2K Views
Hii logo kusema na ukweli imekaa kizamani sana.kuna muda nikiangalia huwa najiuliza hivi yanga inamiliki mabondia wa ngumi na vilabu vya netball? Jibu ni hapana yanga inamiliki timu ya mpira ya...
5 Reactions
49 Replies
4K Views
Leo jioni pale Nyayo Stadium, kulipigwa mchezo wa kufuzu kombe la dunia mwaka 2026 kati ya wenyeji Kenya Vs Gabon. Kabla, wakati na baada ya mechi Wakenya wengi walisikika wakiimba kwa sauti...
0 Reactions
0 Replies
401 Views
Wazee na wanachama wa klabu ya Yanga leo wakiwa Makao Makuu ya klabu ya Yanga Jangwani wametoa msimamo wao juu ya mchezo wa Dabi dhidi ya Simba ulioahirishwa mnamo tarehe 8/3/2025. Pia, Soma...
4 Reactions
53 Replies
3K Views
Kila siku matamko na vigenge kwamba hamtaleta timu siku mechi ya derby ikipangwa. Mnafanya kazi saa ngapi? Viongozi wenu wameshachukua hatua, wameshatoa matamko, wameshapeleka barua Bodi, TFF na...
11 Reactions
31 Replies
1K Views
Hapo vip! Naona siku upepo wa siasa ukibadilika naona hiki kitimu cha yanga ikishuka daraja kabisa kwasababu viongozi na mashabiki wao wanaibadilisha timu kuwa kama chama cha siasa kwa...
0 Reactions
25 Replies
1K Views
Ili kuwakomesha Yanga wacheze hii Dabi watake wasitake ni kuja na kauli mbiu tu "DABI YA MAMA" Kauli mbiu iendelee kidogo iseme "NITAKUWEPO KWA MKAPA KWENYE DABI YA MAMA. WEWE JE?" Tuone kama...
10 Reactions
35 Replies
2K Views
Back
Top Bottom