Umofia Wana Jukwaa !
Kama Mada ilivyo, nawaza hivi huu uwanja huyo Mkandarasi anayejenga hakujua kuwa ball linatembea kwenye pitch sio vyoo?
Naibu Waziri wa Michezo nimekuona unachukuwa Video ni...
Wakuu,
Nimesikitika mno katika hili,uwanja kama vile uko pale tabora
Mwanzo nilifurahi kusikia uwanja huu kufungiwa,kwani ingeamsha bongo za wahusika kuufanyia ukarabati na maboresho makubwa...
Ukifuatilia taarifa za kimpira, kwenye vijiwe, Mitandao ya kijamii, taarifa ya mtu mmoja mmoja na kila nyanja za kihabari na kishabiki kuhusu soka la Tanzania ndani ya wiki hii utagundua Mashabiki...
Ndio hivyo wakuu nimesema kwamba hio tarehe tajwa hapo juu ikitokea Simba Sc akamfunga Al Masry goli hata 1 tu ndio namaanisha goli hata 1 tu yaan hata mechi ikiisha 1-1 Mods nipigwe ban ya muda...
Leo nimeshtushwa kuona watu wenye hali duni wamevaa jezi nyekundu, wamejaa kwenye Costa wakielekea uwanjani.
Kwa kweli ilinifanya nisikitike sana. Inauma kuona jinsi umasikini unavyoweza...
Watanzania tumeshazoea siasa kwenye mambo yetu kwahiyo hata inapokuja mambo ya msingi tunataka weka siasa.
Huu uwanja wa taifa ni kweli hauna sifa kutumika kwenye mechi kubwa kwa hali uliyonayo...
Wazee wa drama na senema zamani walikuwa wanagawana supu Kila baada ya mechi wakishinda. Siku hizi mbona kimya?
Kuna jamaa humu anajiita Labani og na Mwenzake ngara23 walikuwa wanakwenda na...
habari ndugu zangu...!?
ninachoshukuru nimejiandaa kwa lolote yani usipojiandaa hili tukio linaweza kukusumbua zaidi ya hata mwezi
hivyo nimejipanga kuhakikisha sisumbuliwi
anyway...! good...
Shirikisho la kandanda duniani FIFA linasema hatua ya muamuzi kutoa kona kwa timu ya upinzani endapo mlinda lango ataushikilia mpira kwa zaidi ya sekunde nane, itasaidia kupunguza suala la...
Ewe Mwenyezi Mungu, Muumba Mbingu na Ardhi, ulisema ombeni mtapewa, nami nasimama mbele yako hapa uwanjani kwa Mkapa mvua ikiwa inanyesha, nakuomba allah jalali, mungu wa viumbe wote duniani...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amelipa thamani goli la Mama analolitoa kwa timu za Tanzania zinazoshiriki michuano ya CAF ambapo kwa sasa Nchi yetu...
Tangu Mikel Arteta achukue nafasi ya ukocha Arsenal mwezi Desemba 2019,Safari imekuwa na hisia Kali kwa mashabiki na wapenda soka kwa ujumla.Kwa upande wa mashabiki wamelazimika kuendana na...
Wanajamvi, ikumbukwe hapo jana kuna clip ilikuwa inatembea kwenye mitandao ya kijamii ilionyesha wazee wa klabu ya Simba wakilalama kutokuwa na imani na meneja wa uwanja. Wakimtaka akae pembeni...