Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Waingereza ni watu wabaguzi sana. Mashabiki wa Liverpool na wapenzi wa mpira wa miguu wanajiuliza mbona mwamba hapewi mkataba mpya Viongozi wa timu wamekaa kimya kama hawamuoni mwamba, na Yuko on...
7 Reactions
46 Replies
2K Views
Kocha wa Mstaafu wa Klabu ya Manchester United ya Uingereza, Sir Alex Ferguson atuma salamu kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Soma Pia: Rais Samia akutana na...
1 Reactions
8 Replies
778 Views
Kocha wa Manchester United ya England, Ruben Amorim atuma salamu kwa niaba ya wachezaji wa timu hiyo kwa Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Jezi hii iliyosainiwa na wachezaji wa Man...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Vichekesho haviishi,Kombe la looser la vibonde Yanga alifika fainali na wala hakupiga makelele Yanga alivaa medali za Fainali za kombe la looser na kutoa mfungaji bora wa michuano Fistol Mayele...
8 Reactions
66 Replies
3K Views
Hapo vip!! Kwa ubora wa Simba na hadhi yake inauwezo wa kucheza ligi kuu ya misri kisha ikatwaa kombe. Tukumbuke Simba ni timu ya 4 sasa hivi kwa ubora na ukubwa barani Afrika,hivyo kwa hujuma za...
1 Reactions
14 Replies
774 Views
SIKU YA MECHI KALI. πŸ† #NBCPremierLeague ⚽️ Azam Fc πŸ†š Young Africans SC πŸ“† 10.04.2025 🏟 Azam Complex πŸ•– 1:00 Jioni VIKOSI VINAVYOANZA LEO. Updates.... Dakika 11 Pacome anaipatia goli la...
8 Reactions
206 Replies
13K Views
Nawaomba na kuwasihi sana viongozi wa Simba, kuna mwaka tukiwabeba akina Manula, Nyoni, Bocco na Kapombe baada ya azam kushindwana nao kwenye dau , wachezaji hao waliiletea Simba heshima kubwa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Unawalipa mishahara mizuri, wanalala pazuri, wana uwanja wa maana, hakuna njaa, wanakula vzr, facilities zote azam wanazo kwanini wakuumize moyo wako. Huoni unamkosea sana mungu kwa kuwaacha...
6 Reactions
31 Replies
1K Views
Laliga yaja na kampeni inayoitwa VS RACISM hii yote ni kwa ajili ya kutokomeza ubaguzi wa rangi michezoni na adhabu kali zitatolewa mfano kifungo cha maisha gerezani au kufungiwa kuhudhuria...
3 Reactions
3 Replies
356 Views
Wasalaam, Hongera kwa jamii yote ya wapenda maendeleo ya mpira nchini kwa mafanikio ya Simba SC kutinga nusu fainali ya CAFCC 2024-25. Bila kusema mengi, baada ya mechi ya marudiano ya Simba vs...
4 Reactions
6 Replies
947 Views
Tarehe 15, Juni 2025 inatarajiwa kuanza michuano hii itakayo fanyika nchini Marekani. Awamu hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa michuano hii kutumia mfumo wa mpya wa klabu 32 kama lilivyo kombe la...
4 Reactions
23 Replies
4K Views
Mechi ya Maamuzi hii baada ya kipigo cha bao 2-0 ugenini mkondo wa kwanza. Mnyama Simba SC dhidi ya Al Masry SC mechi ya mkondo wa pili ya Robo Fainali ya Shirikisho Afrika. ⏰ Mchezo huu...
18 Reactions
1K Replies
64K Views
1. Kipa wetu Pin Pin Camara ndio usajili namba moja mzuri uliofanywa na viongozi wa Simba, ni kipa ambaye hata kama anafungwa huwa anafungwa kama wanavyofungwa makipa wengine duniani lakini...
12 Reactions
46 Replies
3K Views
Simba SC itakutana na Stellenbosch FC ya Afrika Kusini baada ya kuwatoa Zamalek SC, Stellenbosch kashinda bao moja sifuri ugenini palepale Cairo. Soma, Pia: FT: Simba SC 2-0 Al Masry SC | Robo...
5 Reactions
63 Replies
5K Views
Semi-final: Simba vs Stellenbosch Zamalek wameikimbia Simba. Nilishawahi kusema Stellenbosch ni timu ngumu sana, maandalizi yaanze. Pia Fadlu aangaliwe vizuri asije akaleta mambo ya familia...
6 Reactions
19 Replies
2K Views
Hakika Kundi A la Kombe la Shirikisho ndio kundi lililokuwa na timu ngumu na imara. Timu mbili kutoka kundi hilo, Simba ya Tanzania na Costantine ya Algeria zote zimetinga hatua ya nusu fainali...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Nadhani Leo Mmetoa pepo la MIAKA MINGI sana, now on mtakuwa mnapita robo to nusu kama kawaida. Pepo limetoka kwa energy nyingi sana, I am impressed! Thanks for the good fight , however Yanga...
12 Reactions
33 Replies
1K Views
Nikiangalia huu uwanja ni standard sana japo ni WA kawaida kabisa Sasa hizi team zinashindwa vipi kupata uwanja mzuri kama huu!?
4 Reactions
15 Replies
767 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…