Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Simba mbovu. Kipindi cha pili inapigika. Ama sivyo Simba wakapark Bus. Maana wanaonekana hoi kwa sasa
1 Reactions
31 Replies
960 Views
Simba ilianza msimu kwa kupata shida sana ya kutengeneza nafasi. Tukasema akipatikana mtu anayeweza kutengeneza nafasi, Simba itafunga magoli mengi saaana. Dirisha dogo akaja Elie Mpanzu. Toka...
8 Reactions
27 Replies
1K Views
Uongozi wa club ya Simba SC tafadhari huyu kocha wenu tutamzomea kuna sababu gani Deborah, Awesu na Nouma wanaanza Bench kila Mechi, inaumiza sana mechi zinazohitaji hao wachezaji kocha anafanya...
2 Reactions
15 Replies
808 Views
"Sijaskia Wachambuzi na Waandishi wakiliongelea hili lakini Young Africans SC mpaka sasa imeshakata tiketi ya kushiriki Mashindano ya Klabu bingwa Afrika msimu ujao na ndio malengo na shauku ya...
4 Reactions
11 Replies
966 Views
Kila kocha kwenye timu anayofundisha huwa anamchezaji ambaye ni swaiba yake. Nasukia Jin cha awaaa Ni best wa kocha mzulu mixer muhindi Fadluhussein Huo ushikaji utakujakumtokea puani huyu kocha
2 Reactions
4 Replies
405 Views
Naona kejeli zimekuwa nyingi. Hivi Yanga haijawahi kushiriki mashindano ya Kombe la shirikisho CAF? Tena Yanga si ilishiriki shirikisho kama Luza (looser) toka mashindano ya Klabu Bingwa...
6 Reactions
13 Replies
540 Views
Leo baada ya ushindi kiduchu tunaanza kudanganyana kuwa mechi za nusu fainali hazina magoli mengi, pumbavu kabisa. Hazina magoli mengi wakati RS Berkane anaongoza bao 2 huko hadi sasa half time...
4 Reactions
47 Replies
2K Views
Habari za muda wadau . Wanasimba hongereni kwa ushindi.moja kwa moja kwenye point nikwamba wiki mbili zilizopita niliandika uzi wa kuwa simba akifuzu nipigwe ban . Nakweli baada ya simba...
10 Reactions
16 Replies
932 Views
1. Tukubali au tukatae, tukana lakin Clatous Chota Chama bado anahitajika ndani ya timu yetu, awe yeye au Feitoto, leo ndio Chama angejichukulia ujiko mwingi sana. 2. Mechi imeharibiwa na kocha...
13 Reactions
75 Replies
4K Views
Nauliza mapema hapa..Kuna wale Sasa hivi wanasema STELLENBOSCH ni bonge la timu..ila ikija kufungwa wanabadilika na kusema hamna kitu pale..vibonde wale. Haya Sasa Je STELLENBOSCH timu kubwa au...
4 Reactions
34 Replies
2K Views
baada ya simba kushinda moja ziro, sasa macho na masikio ni kwenye mbio za 127 za boston marathon 42K huko marekani kesho tarehe 21 aprili 2025. Simbu ni mwanariadha wa kimataifa mwenye sifa ya...
1 Reactions
1 Replies
431 Views
Huu ni ushauri tu,ukitoa kipa na namba 9 wengine wote wawe mabeki au viungo wakabaji hii ndio njia rahisi ya kutinga fainali
1 Reactions
16 Replies
781 Views
Klabu ya Vipers SC ya nchini Uganda imemzawadia Mtoto Jamal Ssenyondwa aliyetokwa na Machozi katika uwanja wa Nakivubo wakati Vipers ilipopigwa goli la pili na klabu ya Express United na kufanya...
7 Reactions
11 Replies
818 Views
Mimi kama mwanachama wa Yanga nampongeza mfadhili wetu GSM Kwa mazuri anayoifanyia timu yetu Lakini tukumbuke GSM ni binadamu anaweza siku akaamka hana furaha, akasitisha ufadhili wake, Kuna...
2 Reactions
23 Replies
1K Views
Wameshinda lakini hawana furaha. Tafsiri ya kauli hii ipo mioyoni mwa mashabiki wa Arsenal. Wakati tunajiandaa na come back kabambe dhidi ya Hawa watoto (Arsenal), nawatembeza chini ya barabara...
12 Reactions
83 Replies
6K Views
Mwanamuziki nguli wa Bongofleva, Lady Jay Dee aliwahi kuimba kibao maarufu " Siku hazigandi " alikuwa sahihi. Lile pambano lililokuwa linasubiriwa kwa hamu hatimae ndio linapigwa leo, ama kweli...
44 Reactions
2K Replies
133K Views
Elie Mpanzu aka Joshua Mutale toka kongo. Huu ni usajili wa kisiasa na inawezekana asichezee kabisa Simba msimu huu. Simba ni mabingwa wa kufanya sajili za kisiasa kutuliza joto la mashabiki...
5 Reactions
29 Replies
2K Views
Ewe Mwenyezi Mungu, mwingi wa rehema na mwenye kurehemu, ulisema niombeni na mm nitawapa, tunakuomba mwenyezi mungu, muumba mbingu na ardhi, sisi waja wako hatuna lolote isipokuwa ni kukuomba wewe...
1 Reactions
6 Replies
456 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…