jamani wakuu hali zenu kuna mkuu mmoja humu alituwekea link moja ya rusia ni hd kabisa naomba kama bado yupo na anaijua basi atuwekee tena natoa shukrani kwa wote
Timu yetu ya taifa Taifa Stars inajiandaa na mechi ya kuamua ni nani aongoze kundi na kuwa na nafasi kubwa ya kuliwakilisha bara la Afrika katika fainali za kombe hilo la Dunia zitakazofanyika...
hili suali najiuliza kila siku ila sijawai kupata jibu lake,labda tujadili hili ingawaje najua kwa makomandoo wa simba na yanga nitawaudhi ila ukweli ndio huo.
Kamati ya Operesheni Ushindi ya timu ya taifa ya soka ilitoa "hamasa" ya sh. milioni 30 kwa Taifa Stars katikati ya wiki, kwa ajili ya mechi ya Juni 8 ya michuano ya awali ya Kombe la Dunia dhidi...
Sunday, May 26, 2013
Wachezaji wa Taifa Stars na benchi la ufundi katika picha ya pamoja wakionesha suti zao.
Wachezaji wa Taifa Stars, benchi la ufundi na maofisa wakuu wa TBL...
Juma Kaseja ni miongoni mwa wachezaji ambao mikataba yao inakaribia kumalizika.
Dar es Salaam. Hekaheka za usajili zimeanza kushika kasi na tayari baadhi ya wachezaji waliomaliza mikataba yao...
The world record holder for maximum centuries in Cricket Sachin Tendulkar retires from T20 format cricket of Indian Premier League. The surprise announcement came immediately after his team Mumbai...
HOMA INAZIDI KUPANDA KUELEKEA FINALI YA UEFA.
25/05/2013.
uwanja wa wembley ndio mbivu na mbichi zitajulikana na atatwaa ndoo kati ya wakali ya ujerumani.
DONTMUND WANAJIVUNIA FUNDI WAO REUS NA...
Pana dhana kule Ulaya kuwa klabu iifungayo FC Barcelona (timu bora Ulaya) kwenye robo au nusu fainali ya UCL ndio huwa bingwa wa kombe hilo. Sasa leo tuona kama FC Bayern itaendeleza usemi huu...
TFF imejiweka kando ktk swala la NGASA na kuwambia simba wawe wakweli juu ya usajiri wa Mrisho Ngasa.Yasema kama kweli wana mkataba na NGASA kwa nini hawauweki hadhalani?yawapa ushauri wa bure...
"Nakupongeza Mourinho kwa kuwa msimu huu umeipiga Barcelona, lakini umechekesha kitendo cha kunyang'anywa ubingwa ukiwa nyuma kwa point 10. Umeweka rekodi kwa kugombana na Iker Casillas ambaye...
Wakuu wale ambao mnatumia dstv hebu tufahamisheni kin'gamuzi chao kinalipiwa bei gani na kwa muda gani na ligi gani kwa ulaya wanazi onyesha natoa shukrani kwa wote .