Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,297
- 18,053
Pamoja na kwamba mechi ya mwisho dhidi ya Gambia ilikuwa ya kulinda heshima, kichapo ilichopata Taifa Stars kimechangiwa na uzembe au kutojali kwa viongozi wa TFF.
Ipo sababu ya msingi kwamba baadhi ya wachezaji muhimu walikuwa majeruhi. Lakini wanaeleza vipi kukosekana kwa Mbwana Samatta, Thomas Ulimwengu na Mwinyi Kazimoto? Hao wote ni wachezaji muhimu sana kwa Taifa Stars. Labda suala la Kazimoto linhisiana na kuoroka kwake kwenda Qatar, lakini kwa kuwa aliomba msamaha ni sawa vile wenzetu wanvyosema "shooting yourself in the foot"
Kwa nini Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu hawakuja wakati inajulikana ilikuwa ni internation break na TFF wana haki zote kuwaita? Inaelekea mwenye timu ya TP Mazembe kila wakati anawazidi nguvu hata wakati ni haki yetu. Hata kama TP Mazembe watasingizia kuwa ni majeruhi, bado TFF inaweza kuwaita ili kuthitisha hilo. Vinginevyo Mbona hawaishitaki TP Mazembe FIFA?
Hata kama tutapata mwalimu wa aina gani, bila kupata ushirikiano toka TFF kuhusu wachezaji walioko nje, tutaendelea kuw wasindikizaji kwenye michuono ya kimataifa. Labda kwa kuwa uchaguzi unakaribia watu wako busy na kampeni za chinichini hakuna anayejali kama Taifa Stars inahudumiwa ipasavyo. Tenga pamoja na kwamba hagombei, anaelekeza nguvu zake kwenye kamati za CAF na FIFA na kuisahau Tanzania iliyompa hizo nafasi.