Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Legend Pele mgonjwa mahtuti Jagina wa soka Brazil Pele alikuwa bado anapokea matibabu ya figo Jumamosi lakini hali yake inaendelea kuimarika, hospitali ya Sao Paulo alimolazwa ilisema. "Hali...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Siti mtemvu kachukua pesa hazijarudi Escrow huko wanagoma kurudisha hela. Na jaja nae arudishe zile hela ni za umma!! Haiwezekani uchukue mpunga halafu ukimbilie kwenu Tra mkagueni huyo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Tanzania Premier League Board (TPLB) has said they have managed to raise the value of the Mainland League from Sh3.5 billion last season to Sh6.5 billion presently. The TPLB chief executive...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
HUU NDIIYO UFAFANUZI WA MASUALA YA MBEYA CITY FOOTBALL CLUB. Klabu ya Mbeya City Council Football Club leo 25/11/2014 inatoa ufafanuzi wa mbalimbali ikiwemo suala la utaratibu wa maslahi kwa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Emerson mchezaji mpya wa 'maximo' alipotua leo Dar, nimefurahishwa na ukubwa wa begi lake kwamba ana uhakika wa kubaki na si kama mwenzie Jaja.................ama badu kama hakujifunza namsihi...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
nilisikia imesimama hadi trh 26 NOVEMBA, vp mbn kimya? Au mimi ndo nimevurugwa?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wamekuja kivingine, kiukweli ngoma ni kali sana (sura yako).
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Amri Kiemba (pichani) ameanza mazoezi rasmi leo uwanja wa Chamazi.............Kutoka Kagera Sugar...Yanga.......Simba na hatimaye Azam FC Iwapo Simba hawajaridhia nadhani atakua na kosa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
HATIMAYE REKODI NYINGINE YA TANGU 1955 YAVUNJWA RASMI!. Baada ya Kufunga hat trick dhidi ya Sevilla Jumamosi hii Kama kawaida yake LIONEL MESSI ameendelea kuzivunjilia mbali rekodi za wakongwe...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amepelekwa nchini India kwa ajili ya matibabu. Malinzia amepelekwa nchini India kwa ajili ya matibabu, ingawa haikuelezwa anasumbuliwa...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu FIFA wanataka kuleta hii sheria ya kapu la dhambi katika mpira wa miguu, mimi naona iko poa zaidi kuliko red kadi, Nini maoni yako?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Beki kisiki wa Mtibwa Sugar, Salim Mbonde Beki kisiki wa Mtibwa Sugar, Salim Mbonde ametoa siri kwamba amegoma kujiunga na Klabu ya Simba kipindi hiki cha usajili wa dirisha dogo kwa kuwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hii imetokea leo wakati, Jonas Mkude akisaini mkataba wa miaka 2 mbele ya waandishi wa habari wa kuitumikia Simba Sc. Namnukuu, "Baada ya sisi kumsaini Okwi, Manji alisema anaweza kusajili...
0 Reactions
49 Replies
6K Views
Nyota wa Barcelona Lionel Messi amesifiwa kuwa "mchezaji bora zaidi katika historia ya kandanda", anasema rais Josep Maria Bartomeu. Raia huyo wa Argentina,mwenye umri wa miaka 27,ndiye mfungaji...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndg zangu, inaniuma na ninaamia sana kuiona Liverpool ikiwa katika hali hii, mwanzo niliona ni mapito tu, kwani wachezaji wengi pia walikuwa ni wapya sasa nashangaa, kila siku tunafungwa Kama...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Je unajua kinachoitafuna Mbeya City hadi kushangaza wengi? nitarudi hapa na habari za kiuchunguzi Mbeya City ambayo iliwika sana msimu wa 2013/14 imeshindwa kukidhi matakwa ya wengi msimu huu...
0 Reactions
56 Replies
7K Views
Wakuu me ni mdau na mpenz mkubwa wa arsenal Tulivyofungwa bao la pilli kiukwel nimevunja simu yangu, hasira hasara ndugu zangu wenye mapenzi na timu yetu kama mimi naombeni mnichangie ninunue...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Huyu jamaa kamtuhumu mama yake kumuwangia na hadi kumfukuza kwake...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
MSHAMBULIAJI Genilson Santana Santos ‘Jaja’ amejiondoa Yanga SC akiwa likizo nchini mwao, Brazil na sasa nafasi yake itazibwa na kiungo mkabaji, Emerson Oliveira Neves Roque, Jaja amesema ana...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Sijui kama simba kupitia kwa mwenyekiti wao wa usajili Hanspope walimaanisha kutamka vile kwamba wanamhitaji msuva kwa ada ya usajili ya kuanzia laki tano ama Hanspope alikuwa anajib mapigo kwa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…