Waziri Mkuu wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa ametembelea na kukagua miundombinu ya Uwanja wa Benjamin William Mkapa ikiwepo Viti vipya vilivyofungwa na eneo la kuchezea (Pitch).
Jana ilikuwa siku ambayo Azizi Ki aligundua kuwa anacheza kwenye timu yenye baadhi ya watu wasio na upeo wa kutosha kuhusu maana halisi ya mpira – watu wanaoendeshwa zaidi na hisia kuliko uzalendo...
Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamisi Mwinjuma, maarufu Mwana FA amesema kila bao litakalofungwa katika mechi ya leo dhidi ya RS Berkane litapata bonus ya TSh. Milioni...
Wakuu lawama zote namtupia mwekezaji wa simba bwana moo kwakuamua kuichukua simba na kuitengeneza kuwa tishio hapa afrika na duniani kwa ujumla, hii yote imepelekea simba iogopeke hasa inapo...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU
Baada ya wananchi yanga kutinga hatua ya fainal za CRDB tiar viongozi wa Simba wameanza mbinu za kukimbia game
Na mbinu yao ya kwanza kabisa itaanza kwenye...
Namuonea huruma Che Fondoh na Hamza kudadadakiii
Huyu mwamba kufunga Kwake ni jambo la kawaida, Si mlizoea pira papatu papatu la Refa Sasa njooni Morocco
Remember the Name Oussama Lamlaoui.
Wadau na wapenzi wa Simba Sport club,
Nipo hapa kwa unyenyekevu mkubwa kuwataarifu kuwa nmeoneshwa kwenye maono kuwa Simba leo atashinda goli 1 .,,match haitakua ngumu kama ilvyotarajiwa.
Match...
UONGOZI wa Simba baada ya kupata taarifa ya kubadilishwa ghafla kwa uwanja ambao utatumika kwa mechi yao ya nyumbani ya hatua ya fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya RS Berkane, ulifanya...
Simba ilikuwa ifungwe magoli 4-0 kama isingekuwa mbeleko ya refa/CAF.
Ukweli ni kwamba kitendo Cha refa kukataa kwenda kwenye VAR Kwa matukio 2 ya wazi ambayo yote yalikuwa penati kimeakisi msemo...
Nasema hivi Simba ili mbishane na yanga mfike fainali kwanza kombe Hilo la shirikisho,ambayo msemaji wenu ahmedi ally alikua analiita kombe la waliofeli.
Leo ni siku muhimu na maalum sana kwenye ulimwengu wa soka Tanganyika pale Mnyama Simba mwakilishi pekee wa kimataifa Tanganyika... Atakaposhuka dimbani huko Morroco kumenyana kwenye fainali za...
1. Zanzibar is not a home ground (Simba SC Home Base) especially for a final match.
2. Events implies RS Berkane is backing the choice of Stadium at their advantage against rules (Reference their...
Halafu ndo naona kuna watu wanasema ndo beki bora kwa sasa wengine wakianza kumlinganisha na Dickson Job ama Ibra Bacca
Humu hamna kazi hastahili kuanza katika kikosi cha Simba ni muoga sana wa...
Elimu yake navyosikia ni Madrasa na pia kidato cha 4. Je anaweza bishana kwa lugha ya Kiingereza, Kifaransa au Kiarabu? Au Mikia hamjui umuhimu wa kaptein kuwa mjuzi wa lugha husika ?
Wakuu Baada ya kujifungia miezi mitatu nikichambua kikosi heavyweight Cha RS berkane na kikosi hafifu Cha Simba El de makolo nimekuja ku draw conclusion Kwamba
Mvua ya magoli mengi ....itashuka...
Nimeshuhudia mechi ya Simba zidi ya Berkane cyo boli la kututisha sana, endapo tutajipanga vyema tunao uwezo wa kuwafunga goli mbili hadi tatu hapa nyumbani hiyo tar:25/4/2025.
Kiwango chetu na...
Game ya leo tumeshindwa kutokana na counter attack zao — warefu na wenye nguvu, si wachezaji wa kawaida. Kwa kweli hii haikuwa mechi ya kina Ngoma Fabrice (attacking midfielder), wala Kibu Denis...