LAANA YA KUFUNGWA KUU
ILIANZIA HAPAAAAAAAA
HAWA JAMAA WAKIWA TAYARI WAMESHAPATA BARUA TOKA CAF
MECHI KWA NEW AMAN STADIUM
WAKAMTANGULIZA AHMED ALLY KWENYE VYOMBO VYA HABARI
AKISISITIZA MECHI...
Mashabiki wengi wa Simba ni awajielewi kabisa,,Leo hii wanapiga mayowe eti refa kawanyonga na wamesahau ni refa uyu uyu alikataa goli halali la yanga kule kwa madiba na wakakenua meno yote 32 nje...
Mimi naomba nipingane na mashabiki wote wa simba na wachambizi wa mchele hapa Bongo wanaojiita wachambuzi wa soka.
Kibu, Mpanzu na Ahoua hawa watu wanatabia moja ya kupenda sifa, mapicha picha...
Habari za muda huu wana jamvi
Je ni sahihi kwa hiki kilichofanyika uwanjani?
Ule utani wa jadi uko wapi?
Ushabiki utaenda kutugawa muda si mrefu tutaanza kuona watu wakipigana mapanga na...
Tusihadaike kwa maneno ya wanasiasa na vipichapicha vya hapa na pale, ukweli ni kwamba Simba imecheza mechi zake zote mbili za fainali ikiwa ugenini.
Simba imefanyiwa umafia mkubwa sana katika...
Mtaaaaniiii YAAANI NASHAURI wiki hiii nzimaa msishinsane na Wana Simba popote Wana stress kubwaa kiasi cha kwamba
Kesho ASBH USISHANGAE kusikia MAGAZETINI
"SIMBA YAJIUNGA NA CHAUMA"""
Nimefurahi sana hakuna cha Mama wala nini,ni mwendo wa Spana za Gwajima na uchungu kwa wale wapendwa wetu waliopotea hatuna mda wa furaha mpaka Tundu lussu awe huru
Katika taarifa za kushtusha inatipotiwa kwamba kocha wa Man City Pep Guardiola amekubaliana kwa mdomo kujiunga na Juventus.
Mwandishi wa habari Luigi Guelpa ameiambia radio ya CRC kwamba chanzo...
Uzi huu ni kumbukizi ya historia na hauhusiani na uzi wa matokeo ya leo.
Mnakumbuka ule msemo wa kichwa cha mwendawazimu? Basi hilo jina walipewa makolo baada ya kudufuliwa na kutolewa wakiwa...
Kipimo cha Unabii ni kutimilika usipotimilika huyo mtu ni nabii wa uongo
Watanzania msiende makanisa ya manabii wa uongo waliotabiri Simba itashinda kombe la CAF akiwemo Mwamposya ,Gwajima nk...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU
Msimu huu makombe yote kwa bara la Africa yatachukuliwa ugenini
Lakin mmoja ambaye ni kibonde kabisa atapigwa nje ndani
SAYUNI BOY
Kombe la shirikisho limefutwa rasmi.
https://www.jamiiforums.com/threads/caf-kuyafuta-mashindano-ya-kombe-ya-shirikisho.2309878/
Simba ina chance ya kulihitimisha kombe hili kwa kuiheshimisha...
Juzi hapa nilisema kuna makosa mawili ya nje ya uwanja ambayo yanaenda kuinyima Simba ubingwa wa CAFCC ila nikasita kuyataja.
Kuna watu walinihusia sana niyataje makosa hayo ili yafanyiwe kazi...
UTABIRI WANGU MECHI YA SIMBA FINAL
1. Hali ya Mchezo kwa Upande wa Simba SC
Wamepoteza 2-0 ugenini, hivyo wanahitaji ushindi wa 2-0 ili kupeleka mchezo penaltini au 3-0 kushinda moja kwa moja...
Leo ndiyo nngwe ya pili ya Fainali ya kombe la Shirikisho Afrika ikiikutanisha timu ya USM Alger ya nchini Algeria na Yanga SC ya Tanzania ambapo Yanga itakuwa ugenini. Katika mchezo wa kwanza...
Ninauliza kama kuna namna yoyote Simba inaweza kuingia upya kwenye mashindano haya msimu ujao.
Mashindano ya Caf Champions ni magumu sana, tumechoka kuishia robo fainali
CAF imemteua mwamuzi wa kimataifa kutoka Mauritania, Dahane Beida, kuchezesha mchezo wa marudiano wa fainali ya Kombe la Shirikisho barani Afrika kati ya Simba SC na RS Berkane utakaopigwa Mei 25...
Kati ya watu ambao wanaumia sana na matokea ya Jana basi Mwasibu ni no 1 , sasa huu ni Uzi maalumu kwa ajili ya kumtia moyo ndugu yetu Mwasibu.
Uzi Tayar
Updates:
Inatia Uchungu kwa Mwasibu...