Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (TAKUKURU) inajipanga kuchunguza vitendo vya rushwa katika mechi za mpira wa miguu vinavyodaiwa kuendeshwa kupitia mitandao ya kijamii hususan ‘WhatsApp’...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kipindi cha Nyuma kulikua na Mashindano ya Kombe la Muungano Mufindi yakiwa yanafanyika Mji wa Mufindi na kushirikisha timu nyingi kutoka Nyanda za Juu Kusini Ila baadaye yakaanza kushirikisha...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Rais naomba wafikirie vizuri hawa Stars,hizi pesa zingepelekwa kwa wanafunzi wa elimu ya juu wapate mkopo.
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu kama title inavojieleza hapo naomba Masada
1 Reactions
1 Replies
958 Views
Zimb 3~Tza 0
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Niko naangalia mechi ya zimbabwe na Tanzania kwakweli magoli tunayofungwa sijui hata nisemeje poor team poor defence poor everything
1 Reactions
3 Replies
844 Views
Najiuliza tu hawa wachezaji wote wangekua wanachezea timu moja, sipati picha watangazaji ambavyo wangekua wanajing'ata ng'ata[emoji23] [emoji23] [emoji23]
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Leo imechezwa michezo kadhaa ya Ligi kuu ya Vodacom Tanzania ila macho na masikio ya wengi yalikua kule Mbeya kwenye uwanja wa Sokoine mtanange Kati ya Wenyeji Tanzania Prison na Wageni wao Timu...
3 Reactions
37 Replies
3K Views
Usiku wa leo umechezwa mchezo wa kuwania kufuzu kwa kombe la dunia kati ya wababe wawili wa Amerika Ya Kusini(South America derby),Brazil vs Argentina Brazil wakiwa nyumbani wamefanikiwa...
4 Reactions
30 Replies
3K Views
Mwalimu wa Simba amekosea sana kuwataka wachezaji wake wacheze kufa na kupona ili kushinda kila mechi hata zile zilizochezwa ugenini kwenye viwanja vibovu sana. Baadhi ya viwanja vya mikoani ni...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kocha wa Simba, Joseph Omog ametangaza kuifumua timu hiyo ni baada ya kuchapwa na Prisons, kuanza na mabeki na kipa
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Natak nmle kanji so mwenye mkeka wa leo autupie humu ili kanji alud kwao nataka kuwek 100k
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kiungo wa kati wa Manchester City amesalimu amri na kumuomba msamaha wasimamizi wa klabu hiyo baada ya kutochezeshwa kwa muda na meneja wa klabu hiyo Pep Guardiola. Kupitia taarifa kwenye ukurasa...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Ndg zangu, watani zangu wale wazee wa Msimbazi a.k.a Mikia,.. Nilizoea kuziona na kuzisoma post zenu kila niamkapo nakutana na post kibaaaao.. Mara TANAPA wametangaza mnyama mkali Simba ametoroka...
1 Reactions
5 Replies
813 Views
Kuna jamaa wanadai eti.. narudi tena eti.. hii kasi aliyonayo Simba S.C [4G] ni nguvu ya soda tu.. Mzunguko wa pili wachezaji watakua wamechoka, pia majeruhi yatawaandama.. Hivyo lazma waanze...
0 Reactions
45 Replies
5K Views
Wasaalam wanajamvi! Leo ninapenda kuwaletea 'Unabii' mwanana kabisa kuhusu vijana hawa wanaochezea klabu ya Simba SC. Kama ilivyo desturi ya soka la Tanzania na pia hali halisi ya Vilabu hivi...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom