Legeza mwendo
JF-Expert Member
- Oct 8, 2016
- 519
- 655
Najiuliza tu hawa wachezaji wote wangekua wanachezea timu moja, sipati picha watangazaji ambavyo wangekua wanajing'ata ng'ata[emoji23] [emoji23] [emoji23]
hatari yule jamaa wa tottenham anambio kama boltJe wale kina son