Kamati ya Utendaji ya TFF imeahirisha uchaguzi hadi hapo itakapokutana Julai 4, mwaka huu.
Imeelezwa uamuzi huo umechukuliwa baada ya wajumbe wa kamati ya uchaguzi kukiuka taratibu.
Kichekesho...
Bila ubishi wote tunajua kuwa Leonel Messi ndiyo mchezaji bora kutokea tokea dunia iumbwe. Ila kumekuwa na haters wachache wakisema hawezi kuwa bora mpaka abebe kombe la dunia, kweli? Kombe la...
Pengine nisingependa kumlalamikia mayai kwa kugombea uenyekiti
Kiukweli kabisaaa aliemshauri ali mayai kugombea aje kuaibikia tff Mungu anamwona
Labda amkujua ana familia yake nayo akijitangaza...
Leo vilaza wawili kwenye soka wanakutana kwenye mashindano ya Cosafa.South Africa vs Tanzania.
Bila ya kupindisha maneno kila mmoja anafahamu namna Stars tulivyo vilaza na sio stars tu hata...
1. Kughushi
Aveva alighushi nyaraka ili kujilipa deni ambalo inadaiwa aliikopesha Simba USD 300,000.
2. Nyaraka za uongo
Walitumia nyaraka za uongo ili kulipa deni kutoka benki ya CRDB.
3...
Bafana Bafana to know Cosafa Cup quarter-final opponents on Thursday
28 June 2017 - 11:13 By Mark Gleeson
South Africa will have to wait until Thursday to find out the identity of their Cosafa...
Kamati ya usajili ya yanga ipo kwenye hatua za mwisho kunasa saini ya mchezi toka matopeni ..Demla ambaye anatarajia kutua yanga wakati wowote amesharidhia ofa.
Mwenyekiti wa kamati ya Uchaguzi wa TFF, Revocatus Kuuli amesema yuko tayari kujiuzuru baada ya kutofautiana na wajumbe wake juu ya hatma ya rais anayemaliza muda wake Jamal Malinzi.
Kamati ya...
Habari wana JF,
Kwa kashfa ambayo Mh rais wa TFF Bw. Jamal Malinzi nadhani ni busara sana kwake kukaa pembeni kwa kutangaza kujiuzuru nafas yake.
Hii itaendelea kulinda heshima yake na huku...
Mwenyekiti huyo Revocatus kuuli amesitisha uchaguzi huo kutokana na kile alichokiita kuwa haoni sababu ya majina mengine kuenguliwa bila sababu ya msingi!
Nyota wa soka nchini Argentina Lionel Messi amemuoa mpenziwe wa utotoni nyumbani kwao katika kile kilichotajwa kuwa harusi ya karne.
Waliokuwa wachezaji wa barcelona Xavi na mkewe, Fabregas na...
Aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa TFF ,na ambae sasa anawania nafasi ya Urais wa shirikisho hilo Bwana Wallace Karia amewekewa pingamizi dhidi ya uraia wake.Bwana Karia ambae duru za siasa za...
.
Kumekuwa na mjadala unatembea mitandaoni kuhusiana na Haji Manara kuangua kilio mahakamani Kisutu, jana.
Manara ambaye ni msemaji wa Simba, aliangua kilio baada ya Rais wa Simba, Evans Aveva...
HARUNA NIYONZIMA AOTA MBAWA MSIMBAZI!
Alisema anashangazwa na viongozi Simba kuwadanganya mashabiki wao kama yeye amesaini simba. Asikika live Rwanda. FM RADIO. 87.6 katika kipindi cha michezo...