Taifa stars vs south Africa ,vilaza wawili wa soka wanaminyana hapo baadae ,

py thon

JF-Expert Member
Sep 11, 2016
2,472
4,430
Leo vilaza wawili kwenye soka wanakutana kwenye mashindano ya Cosafa.South Africa vs Tanzania.

Bila ya kupindisha maneno kila mmoja anafahamu namna Stars tulivyo vilaza na sio stars tu hata vilabu vyetu vya soka ni vilaza na mara nyingi tumekuwa hovyi kimataifa hali kadhalika kwa S.Africa hawa jamaa hawana tofauti na sisi tunafanana kwa kila kitu sema wao wamebahatika kucheza kombe la dunia na mataifa ya Africa kwa tiketi ya uenyeji

Tukianzia ngazi ya klabu ligi ya south ni ya kawaida na vlabu vyao zinafanya hovyo Caf championship. Msimu wa 2015/2016 kwenye msimamo wa ligi wa South klabu ya Bidvest ilishika nafasi ya 2 na walikutana na Azam kwenye kombe la shirikisho nadhani wengi ni mashahidi tuliona Azam ikiivurumisha Bidvest mabao 3-0 na kuwatupa nje ya mashindano.Timu kama Mamelody pia ni wasindikazi tu na underdogs kwa vilabu vya kaskazini na mengineyo

Turejee kwenye ngazi ya timu ya taifa baada ya kuona ligi ya south na ya Tanzania zinafanana kwa viwango.

Bafana bafana ni moja ya timu iliyojaaliwa jina na pesa kutoka kwa shirikisho lao lenye uwezo lakini ni vilaza hawana mpira wowote na ni underdogs kwa mataifa ya Afrika magharibi na kaskazini

Stars vilaza wa soka tunacheza hapo baadae na vilaza wenzetu south Africa .

Sitoshangaa mechi ikaamuliwa kwa njia ya matuta
 
Mmmh lkn S. Africa wako vzuri kuliko sisi nashangaa unavyowabeza
 
mkuu, nakushauri upitie tena kumbukumbu za soka la SA.
 
Leo vilaza wawili kwenye soka wanakutana kwenye mashindano ya Cosafa.South Africa vs Tanzania.

Stars vilaza wa soka tunacheza hapo baadae na vilaza wenzetu south Africa .

Sitoshangaa mechi ikaamuliwa kwa njia ya matuta
Mkuu historia ya mpira wa S.A sio sawa ni sisi Tanzania, sisi TZ ni vilaza zaidi.

*S.A waliwahi kushika nafasi ya 16 kwenye fifa rank mwaka 1996

*wameshiriki kombe la dunia mara tatu (1998,2002 na 2010)

*wameshiriki AFCON mara nane na kufanikiwa kubeba kombe mara moja mwaka 1996
 
South Africa uifananishe na MAKINIKIA STARS? You are not serious brother.
 
Na pia wana programme nzuri sana za soka labda angesema kwa miundo mbinu na nchi jinsi ilivyo walipaswa kuwa zaidi ya walipo ila nachojua south wamewekeza kwenye michezo mingi na kuna wanayofanya vizuri na wasio fanya vizuri hata kama tutawafunga leo(naomba iwe hivyo) lakini bado wao ni bora zaidi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom