Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Floyd Mayweather vs. Conor McGregor ni pambano ambalo litafafanua vizuri maana ya tukio tajiri la kimichezo mnamo August 26 wakati pambano hili litakapovunja rekodi zote za kifedha zilizowahi...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Watu hawa wamechukua form za kuwania urais Tff ni haki yao kabisa ila hakuna mtu asiewajua Hawajawahi kufanikisha chochote cha maana tangu wakae katika soka Mwakalebela aliwahi kuwa katibu wa...
0 Reactions
3 Replies
815 Views
katika mechi ya kirafiki ilochezwa na Njombe mji fc na azam fc..njombe mji imeinuka kidedea kwa kuichapa Azam 2 bila... Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Katika vitu ambavyo natamani kuona ni simba kuingia katika mfumo wa HISA Kwa mtindo huu simba inaweza kuwa kama club nyingine barani Afrika na dunia kwa ujumla Mimi kama mwanachama naukaribisha...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Mgombea wa urais katika uchaguzi mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia mapema leo alifika makao makuu ya idara ya uhamiaji kwa amehojiwa kuhusu uraia wake. Karia ni kaimu rais...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndio kama hivyo siku ya jana tumeshuhudia draw ya ratiba ya robo fainali ya michuano hiyo mikali, kwa upande wangu nimetokea kuvutiwa na huu mtanange kati ya stimu tosha watoto wa mabibo na keko...
1 Reactions
0 Replies
850 Views
1. Aishi Manula 2.Shomari Kapombe 3. Mohammed Hussein 4. Erasto Nyoni 5. Salimu Mbonde 6. Jonas Mkude 7. Shiza Kichuya 8. Haruna Niyonzima 9. John Boko 10. Laudit Mavugo 11. Emanuel Okwi Sent...
4 Reactions
60 Replies
12K Views
Kiungo mshambuliaji wa timu ya taifa ya Tanzania na klabu ya Yanga, Simon Msuva Mara baada ya kiungo wa Yanga SC na timu ya taifa ya Tanzania, Simon Msuva kupata nafasi ya kwenda kuanza maisha...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Mechi hii sio ya kukosa. Vita ndani ya uwanja na nje ya uwanja. Maelekezo na Maamuzi kutoka Juu
1 Reactions
51 Replies
4K Views
Zile tetesi kwamba kuna chuki za kocha wa Taifa Stars dhidi ya kuuvaa mkenge wa Usimba na Uyanga leo umedhihirika baada ya timu aliyoiteua kutofua dafu kwa Taifa dogo la Rwanda na kutoka suruhu...
1 Reactions
42 Replies
4K Views
Ninajiuliza swali. Ni hatua zipi muhimu za mtu hupitia Hadi kujinasibu kuwa yeye ni shabiki Wa timu fulani? 2.Je kuna Kosa gani kwa shabiki Huyo kuamua Kubadili gear angani na kujiunga na timu...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Inasemekana kwamba mashabiki wa...... Liverpool FC ni wapambanaji, majasiri sana na wamebarikiwa mno maishani. Manchester United ni wapenda maendeleo, mashujaa na ni Washirikina wazuri tu...
0 Reactions
2 Replies
773 Views
Shirikisho la Soka Afrika(CAF) limemteua Mtanzania, Leodegar Tenga kuwa Makamu Rais wa Kamati ya Ufundi na Maendeleo ya Shirikisho hilo. Tenga aliwahi kuwa Rais wa Shirikisho la Soka...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
IN ENGLISH Simba is the union of Mohammed Dewji, Azam FC and Mtibwa Sugar in the fight against champions' Yanga. ELABORATION After Yanga won three consecutive Premier League Title, Azam decided...
8 Reactions
20 Replies
2K Views
habar za muda huu wana jamii forum kutokana na zanzibar kufuriwa uwakilishi katika caf ni vyema kukawepo na ligi moja Tanzania tofauti na hivi sasa ambapo kunachezwa ligi mbili katika nchi moja...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu nimekua mfuatiliaji wa mchezo wa mpira wa miguu hapa nchi na mdau wa michezo kwa ujumla wake! Watanzania wengi tumekuwa tukihitaji kuona soka la vilabu vyetu pendwa likikua kufikia level za...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
DOGO ALIYEMKUMBATIA ROONEY AFUNGUKA…..SITASAHAU SAA 24 NILIZOKAA MAHABUSU KAMA bado ulikuwa unapata shida kuielewa maana ya neno ‘jasiri’, basi likumbuke tukio la shabiki aliyeingia uwanjani na...
2 Reactions
20 Replies
4K Views
Mechi ya Leo ya Rwanda vs Stars ndio inadhihirisha kwanini huyu striker alikuwa haitwi timu ya taifa
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Mabingwa wa kihistoria Tanzania wametajwa katika orodha ya timu bora 50 kwa mwaka 2017. Yanga wameshika nafasi ya 43. Viongozi wetu mnapoingia mikataba na makapuni msifananishwe na wale wengine...
5 Reactions
15 Replies
20K Views
Back
Top Bottom