Kwa wale wapenzi wa ndondo cup 2017 karibuni tubet

Magna Carta

JF-Expert Member
Jul 14, 2014
4,335
6,617
Ndio kama hivyo siku ya jana tumeshuhudia draw ya ratiba ya robo fainali ya michuano hiyo mikali, kwa upande wangu nimetokea kuvutiwa na huu mtanange kati ya stimu tosha watoto wa mabibo na keko furniture, maana baada ya keko furniture kuingia robo fainali walisikika wakiomba kukutana na hawa stimu tosha.

Mshabiki kindakindaki wa Goms united. karibuni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom