Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Nachukua nafasi hii kuipongeza KAMATI ya utendaji kuamua KUMSIMAMISHA UANACHAMA MZEE Kilomoni kutokana na kufungua kesi mahakamani.Pia kumwondoa katika BARAZA la wadhamini la klabu.Mzee Kilomoni...
6 Reactions
27 Replies
3K Views
Klabu ya Ndanda imesaini mkataba wa mwaka mmoja wa udhamini na kampuni ya Motisun. Tangia nifuatilia mpira na ligi ya Vpl naona makampuni ya watu wenye asili ya nje kusaidia vilabu vyetu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kufuatana na link hii Tracking, Track Parcels, Packages, Shipments | DHL Express Tracking , rufaa (nyaraka za rufaa) imepokelewa leo. So wanasimba tuwe mavumilivu wakati tunasubiri majibu.
1 Reactions
25 Replies
5K Views
Uchaguzi TFF umeshafanyika jioni ya leo ambapo Rais, Makamu wa Rais na wajumbe kadhaa wamechaguliwa. Rais mteule ni Wallace Karia, Makamu wa Rais ni Michael Wambura. Mchanganuo wa Kura kwa...
6 Reactions
216 Replies
41K Views
Trh 27 August 2017 dunia itasimama kwa muda kushuhudia mtifuano wa masumbwi. MoneyTeam aka weusi team huko kambini ni balaa,snoopydog alitembelea na kumpa shavu mtu wake wa nguvu Mayweather. The...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Maana naona mnayatumia magazeti kwa kupamba usajiri wa Niyonzima.Siye tungependa mtupe na mrejesho wa rufaa yetu bhana acheni kutuona watoto wadogo sisi kwa kutudanganyishia pipi ili tulale!!
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Uongozi wa Simba tunaomba majibu kuhusu rufaa yetu kule FIFA, updates zipoje?
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Hili swali nimekuwa najiuliza mara zote tangu sakata la uchaguzi wa TFF Limalizike, maana haiingii akilini kabisa kwamba alipokuwa anaomba umakamu wa Rais alikuwa raia safi , bali kwenye urais...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimeshanga na habari kuwa huyu bwana ni Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Mvomero. Nawasilisha
3 Reactions
45 Replies
14K Views
Nianze kwa Kumshukuru Baba Conte kwa kutuuzia chombo kikiwa kimesoma mita chache Matic asante kwa mzima Mitambo huyu. Nasaha zangu kwa Conte game ya kwanza tayari Chali Halafu ijayo na Totenham...
14 Reactions
72 Replies
6K Views
Oi oi leo uwanja wa kine si kutakuwa na fainal ya michuano ya ndondo cup kati ya timu zifuatazo MISOSI VS GOMS UNITED Hii itakuwa mechi ya kukata na shoka mm karata yangu ipo kwa MISOSI FC Naomba...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
July 19, 2017 Chelsea have confirmed they have agreed a deal to sign Alvaro Morata from Real Madrid. The club have been searching for a new striker and, having missed out on Romelu Lukaku to...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Kama unakumbuka ilikuwa Aprili, mwaka huh pale Lionel Messi aliposhangilia baada ya kufunga bao mwishoni katika El Clasico kwenye Uwanja wa Santiago Bernabeu, Madrid, akaamua kushangilia kwa...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Michuano ya Ndondo Cup msimu wa nne imehitimishwa leo Jumapili August 13, 2017 kwa mchezo wa fainali kati ya Goms United dhidi ya Misosi FC mechi iliyochezwa kwenye uwanja wa Kinesi. Misosi FC...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Katika kuhakikisha wanafikia malengo yao, Klabu ya Simba SC imewataka wanachama wake kujitokeza kwa wingi katika mkutano mkuu wa mwaka utakaofanyika leo kuanzia saa 4:00 asubuhi kwenye Ukumbi wa...
9 Reactions
84 Replies
16K Views
Ninachokiona baada tu ya msimu wa Ligi kuanza, hizi kelele zinazotokana na Imani ya mashabiki wa Simba kuamini kwamba watafanya vizuri saaana msimu ujao, hali itakua tofauti sana.. Yaani kama ni...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
soka wa kimataifa wa Ureno anayeichezea Real Madrid ya Hispania Cristiano Ronaldo anaweza kukumbana na adhabu kali kutoka chama cha soka cha Hispania kwa kosa la kumsukuma refa Ricardo de Burgos...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Pamoja na kuambulia kura tatu katika uchaguzi mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), aliyekuwa mgombea wa nafasi ya urais, Fredirick Mwakalebela amesema uchaguzi huo hakuwa huru na haki ila...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Hongera kwa ushindi mkubwa,tunaomba uanze na kufanya uhakiki wa umri wa Wachezaji "Kipindi unacheza mpira ligi kuu mimi nipo shule ya msingi,leo nimemaliza Chuo lakini cha ajabu umeitwa kikosi cha...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…