Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Kuna majirani zangu wakiwa na akili zao ' timamu ' kabisa leo asubuhi wameamka na wakaja karibu na dirisha langu wakawa wanapinga / wanabeti ( wanacheza Kamari ) ambapo mmoja ni Mshabiki wa Simba...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Aloo huyu Jamaa ni Fundi/Mdukuaji Nafikiri ukipima Spidi na kati wa wachezaji waliokimbia sana jana uwanjani hapo hana hata mwezi na timu. Ifike mahali sasa na Sisi Tuanze kuwatengeneza Wachezaji...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wayne Rooney ametangaza kustaafu kuichezea timu ya Taifa ya Uingereza, ameichezea michezo 119 na kufunga magoli 53.
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimesoma kwenye gazeti Juma Pinto na David Mosha wanagombea ujumbe kwenye uchaguzi unaokuja wa TFF.... nimeona ni vizuri ku share habari hii...hapa since haya majina yanazungumzwa mno hapa JF now...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Ukiona debe linalia ujue limegongwa. Ukiona kelele nyingi ujue maumivu yamekita. Zifuatazo zaweza kuwa sababu za Diamond kulazimisha collabo ya fresh kama jukwaa la Mipasho dhidi ya Alikiba: 1...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mechi ya ngao ya Jamii, itachezwa jumatano tarehe 23/08/2017 na hii ni kuonyesha ufunguzi mpya wa Ligi kuu ya Vodacom ambayo itaanza mwishoni mwa wiki. Kila mtu anaipenda timu flani kati ya Simba...
0 Reactions
128 Replies
22K Views
Yaani wana score three goal within 4 minutes.... Tena goals ambazo ni hatari tupu. . Combination ya Pogba, Matic, Lukaku na wezie ndio imeiva sasa ....
9 Reactions
34 Replies
4K Views
Kutokana na kuwaangalia na mafanikio waliyo yapata nakuja na timu yangu bora ya muda wote Kipa Dida(Brazil) Mabeki Lahm (Germany) Roberto calos (Brazil) Ramos (Spain) Silva (Brazil) Viungo...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
KIUNGO wa Yanga, Pius Buswita amefungiwa kucheza soka kwa mwaka mmoja kwa kosa la kusaini mikataba na klabu mbili, nyingine ikiwa ni Simba. Hayo yamefikiwa katika kikao cha Kamati ya Katiba...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) litapandisha idadi ya timu zinazoshiriki Ligi Kuu msimu ujao wa 2018/19 kutoka 16 za sasa hadi 20, imefahamika. Uamuzi huo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) litapandisha idadi ya timu zinazoshiriki Ligi Kuu msimu ujao wa 2018/19 kutoka 16 za sasa hadi 20, imefahamika. Uamuzi huo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jackpot ni mil 200,000,000/= wenye bahati zenu karibuni mpige mpunga
3 Reactions
24 Replies
9K Views
Naleta hoja hii kwenu wadau wa football tuijadili na baadae wafadhili wayafanyie kazi mapendekezo yetu. Ndondo cup kwa uwezo wake Mwenyezimungu inazidi kuwa maarufu na inaibua vipaji,sasa ni kwa...
0 Reactions
1 Replies
993 Views
  • Closed
Kuna habari zinaenea kwa kasi katika mitandao ya kijamii kuwa timu ya Yanga kesho hawatoingia uwanjani kutokana na wachezaji wa timu hiyo kutolipwa mishahara yao ya mwezi uliopita. Hivyo kuna...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
YANGA WABABE MARA NYINGI, SIMBA WAZEE WA DOZI NZITO (SOURCE: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE 9:13 PM BREAKING NEWS , HABARI ZA MICHEZO) Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM WAKATI watani wa jadi...
0 Reactions
0 Replies
27K Views
Nimeshangaa gazeti LA Champion ambalo linapaswa kuwa kibiashara zaidi kuleta ushabiki mandazi. Hii front page haikuwekwa hivi kwa bahati mbaya
1 Reactions
14 Replies
12K Views
Ni shabiki maarufu wa mabingwa wa historia VPL Yanga Alifariki hivi karibuni ukweli Ali alikuwa kivutio kikubwa mechi kama ya leo....hata mfungwe tatu anahamasisha shangilien kama ameona goli la...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Najaribu kuulizia tu,inasemekana simba ina wanachama takribani 5000 sasa katika mkutano wa leo waliohudhuria ni 1200,je mpaka hapo akidi ilitimia?kama haijatimia maamuzi ya leo ni halali? Sent...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
The Cleveland Cavaliers and Boston Celtics have agreed to a trade that will send Kyrie Irving to Boston in exchange for Isaiah Thomas. Cleveland will also receive Jae Crowder , Ante Zizic and...
0 Reactions
2 Replies
743 Views
Haijawahi kutokea ila safari hii Manji na Aveva watausikia tu mtanange wa timu zao ama kupitia radio au luningani. Ahsante!
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…