Tutajie basi thamani ya simba ili tujadili.Sare , 1-0, 2-1 na timu ndogo vinalingana?
Wachezaji 10 ni nonsense. Namungo? Arusha combine?, Kotoko? Uturuki? Mbelgiji? mo? Vs Katwila, wazawa, daraja la kwanza.Tutajie basi thamani ya simba ili tujadili.
Afu ulichokiandika ni umbea tu sidhani kama vinahusiana na technical issue.
Mpira hauko hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app