Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Wadau kama kawaida Yale mambo ya over under gg ndo Leo.shusha bet yako safi ili kila MTU spate maujuzi ya kuvuta mkwaja kirahisi
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Nilishuhudia mahojiano haya kwa kweli nilifurahia sana jinsi wachezaji wa zamani walivyokuwa wamejitolea kwa hali na mali kwa ajili ya nchi yao. Alichoshauri ni kuwa siku hizi wachezaji wetu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Salamu ndugu, Wadau kwenye mpira Wa miguu wakati mwingine nimeona kuna baadhi ya wachezaji wakisifiwa sana kinyume na uwezo wao halisi katika utimizaji majukumu uwanjani kwenye nafasi zao. Nadhani...
1 Reactions
48 Replies
4K Views
USIKU! Yes Usiku wa Alhamisi ya April 14, 2016 ndio usiku pekee wa kusisimua kuwahi kutokea katika dimba letu la Anfield. Usiku uliokuwa na jasho, damu na machozi. Usiku wa vita. Usiku ambao...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Wale wamgodini chimbo letu tunalishushia hapa,kwa update kuhusu timu yetu tunayaanikia hapa kamba zipo za kutosha.
0 Reactions
0 Replies
680 Views
Maana yake ni kwamba mzungu akipigwa kadi Simba haitakua na kocha kwenye bechi. Maana yake mzungu akiugua ghafla Simba haitakuwa na kocha. Maana yake Simba inapoteza hela kuajiri assistant coach...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari zenu Startimes kwa mara nyingine tunawaletea habari njema watanzania kuwa tumepata rights za kuonyesha michuano ya CLUB BINGWA DUNIANI katika chanel zetu pekee. Kwa africa michuano hii...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Leo tutajifunza kwa njia video utaitazama hapa Mahitaji Url ya jezi husika Muunganiko wa data Pakua hapa jezi mbalimbali hapa Tumia telegram kupakua hizo jezi
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wekeni timu za uhakika bc tupate hela maana hali ngumu si mchezo kitaa hapa na buku nataka nipate hata elf kumi tu
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Orodha hii imepangwa kutokana na kiasi cha fedha (net worth) anachomiliki owner wa timu.. Na anaanza owner mwenye mkwanja mrefu. 1. Jina La Mmiliki: Patrice Motsepe Jina La Timu: Mamelodi Sundowns...
14 Reactions
36 Replies
8K Views
imeandikwa na Nasri Van Man Utd Akiwa na umri wa miaka 18 ,Paul kijana mwenye kipaji asili cha mpira alianza kuwa gumzo kwenye mitaa ya Carrington , kama alivyowahi kusema mwanafalsafa mmoja kuwa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
1} Uwanja ÷ Urefu mita 100-120 Upana mita 50-60 Mduara wa katikani nusu kipenyo 9.15 2} Mpira Huwa na kipenyo cha Sm 68 -70 Uzito wa grm 410-450 Ujazo 1.1-1.6 3} Idadi ya Wachezaji 11 kwa kila...
0 Reactions
9 Replies
19K Views
Tanzania tulitakiwa kumpa zawadi kubwa Mwakinyo kwa kitendo cha kumpiga mkoloni. Kibanga mwenye asili ya Tanga pia alifanya hivyo huko nyuma tukampa zawadi ya kusomwa kwenye vitabu vya shule za...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
KITENGE Naam jina ambalo kuanzia siku ya Jana,hadi Leo linaendelea kushika kasi kwenye viunga vya jiji hili na Tanzania nzima, Kijana ana uwezo ana mbinu yaani ana vitu flani hivi,hasa goli lake...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Swali: Ni timu gani ya mpira wa miguu iliyowahi kuchukua ubingwa wa ligi kuu kwa kushinda mechi zote? [i.e., yenyewe ilikua inashinda tu, haikuwa kupata sare wala kufungwa] Jibu...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Timu ya Manchester United inapofungwa huwa napata raha sana na naiombea ifungwe hivo hvo ili nizidi kufurahi. Je wewe ni timu gani inakupa furaha wakifungwa???
6 Reactions
139 Replies
9K Views
Wadau weken Update za Matokeo Simba vs Ndanda Kagera vs Biashara KMC vs SINGIDA UTP LIPULI vs MTIBWA
0 Reactions
64 Replies
7K Views
Welcome uefa
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mayweather ‘welcomes’ TZ boxer Mwakinyo to his roster Plans are afoot for Floyd Mayweather to include Tanzania’s Hassan Mwakinyo in the list of boxers who box under his promotional company, The...
4 Reactions
78 Replies
11K Views
Wadau nipo mbali na TV je kuna namna naweza angalia Mechi za Ligi ya Tanzania leo kupitia simu?
0 Reactions
14 Replies
48K Views
Back
Top Bottom