Ikiwa TAKUKURU ni taasisi huru, tafadhali chukueni hatua juu ya malalamiko yanayoendelea kuibuka, kwani watu wengi hawaridhishwi na namna Bw. Wallace Karia anavyosimamia rasilimali fedha za TFF...
Aliyewahi kuwa mwenyekiti wa klabu ya Simba, Ismail Aden Rage, anasema kuwa Simba watacheza mchezo wa Darby tarehe 25 lakini pia tarehe 24 wataenda kufanya mazoezi na mbuzi tena beberu...
Sisi tunaishi katika dunia yetu.
Mpaka leo ligi haijaisha😂
Wenzetu waliopo mbele ya muda wanaendelea na mambo yao.
EPL washatoa ratiba ya msimu mpya wa ligi, August 15 ligi inaanza.
Weekend...
Wakuu!
Umesikia huko? 'Hatuchezi' imehamia Unyamani, waimba na Vigoma kama Noma na iwe Noma na sisi hatuchezi
Tangu ilipotangazwa tarehe mpya ya Dabi ya Kariakoo Simba Sc hawajaonyesha nia ya...
Mimi napenda sana soka. Kuna uchaguzi wa TFF mwezi Agosti, 2025. Nawashauri wajumbe watakaomchagua Rais wa TFF wamchague Ally Mayay ili awe Rais kwa kipindi kijacho. Rais anayemaliza muda wake...
Nashauri uongozi wa Crown FM uchukue uamuzi mgumu hasa dhidi ya Hans ambaye anajionyesha wazi yuko kwenye payroll, na muda wote anajaribu kuonyesha anafanya retirement kwa wanaomlipa.
Mwisho...
Kilichotokea kipo kwenye mipango na wote wahusika wameshirikiana katika kutengeneza hili tukio, Simba na Yanga zinatumika na serikali katika kupumbaza watu, katika kupenyeza ajenda zao za kisiasa...
Kuhusu 25 June, wanasimba wote wanapaswa kujua mpira unaongozwa kwa sheria na kanuni,hivyo sisi kama taasisi ya mpira lazima tuheshimu kanuni na sheria.
Niwatoe wasiwasi mchezo namba 184 klabu...
Simba wameachana na M Bet na wamesaini mkataba wa miaka mitano na Betway. Simba Wataungana na timu kubwa duniani kama manchester city,Arsenal,Atletico Madrid,West Ham united na Brighton...
Baada ya Mh Rais kuingiila utendaji wa TFF jambo lilopelekea baadhi ya viongozi wa bodi ya ligi kujiuzuru na wengine kufukuzwa sasa tusubiri kifungo kutoka FIFA
Si...
Baada ya suluhu ya mgogoro wa derby huko Ikulu Dodoma umekuwepo mgogoro mkubwa kwenye timu ya Simba
Bodi ya Simba na mdhamini mkuu Mo Dewji hawakufurahia uwakilishi wa viongozi wa Simba ambapo...
Habari.
Naona TFF wameanza kupata funzo muda si mrefu wametangaza kuhahirisha mechi.
Na kwa muda huu wanaomba waandishi wa habari kuwasogezea vipaza sauti kwa mahojiano zaidi.
Kwa maelezo zaidi...
I salute you kinsmen.
Huko simba hali mbaya wakuu msionr hivi .
Bundi ametua msimbazi!
Kwa sasa tajiri amesusa na hataki kutoa lolote lile, chanzo ni hasa viongozi waliokwenda dodoma na kukubali...
Klabu ya Azam imekamilisha usajili wa kocha Florent Ibenge ambaye alikuwa anaifundisha klabu ya Al Hilal ya Sudan. Kilichosalia ni utambulisho rasmi tu.
Azam inaendelea kujitafuta ili ifikie...
Katika kitu ambacho tunatakiwa kukifanya mwaka huu ni kuishitaki tanzania kuingiza siasa kwenye simba na yanga Ili nchi ifungiwe kwama Kenya ilivyofungiwa sasa twendeni Kwa wingi wetu tukacoment...
Kiungo mshambuliaji Yacuoba Sogne amefungua kesi TFF kuwashitaki Tabora United baada ya kuwa anadai mshahara miezi minne na pesa zilizobaki za usajili.
Yacuoba Sogne Yupo Dar Es salaam.
Zile mbwembwe za muwekezaji wa jezi, kujenga uwanja, mabweni na Basi la kisasa zimeishia wapi?
Misifa mingi na kujipa promotion. Hawa watu wanazitumia timu hizi kwa manufaa yao.
Ahadi kibao...
Hapo vip!
Simba ni club kubwa na bora barani Afrika na ni ya tano sasa kwa ukubwa barani Afrika.Hivyo ni club kubwa na bora no.1 Tanzania,Afrika mashariki na kati.
Ni aibu kwa club ndogo kama...