Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

The only amateur team at the Club World Cup Auckland City FC managed to draw 1-1 vs. South American giants Boca Juniors. The side from New Zealand is mostly comprised of players that have full...
1 Reactions
3 Replies
426 Views
Baada wiki iliyopita Dogo Shukuru kumtandika goli 4 kwa michezo 24 waliyocheza dhidi ya Dogo Sisco, Dogo Shukuru ametamba kumtaka kucheza na Noel Namaloe ila Noel kama kamkimbia dogo kimtindo...
5 Reactions
29 Replies
2K Views
Wageni wapo kwa mkapa jioni hii, kimya kimya wakipasha, kwahiyo dabi ipo kama kawa
4 Reactions
23 Replies
2K Views
GENTAMYCINE alijitamba sana kuwa wao ni watu wa kimya kimya na ndio imetoka hiyo. Haya boss kubwa kataitishwa katema bungo na ratiba ni kama ilivyopangwa :p :p:p Pole sana GENTAMYCINE pia pole...
3 Reactions
1 Replies
761 Views
Klabu ya Simba haijatuma wawakilishi kwenye mkutano wa Waandishi wa Habari kwaajili ya kuzungumzia maandalizi yake ya mchezo wa Derby ya Kariakoo dhidi ya Yanga Sc, mchezo unaotarajiwa kupigwa...
2 Reactions
53 Replies
4K Views
Sasa hivi Azam Sports 3 waeandika 1600-1800 Kandanda mbashara lakini wanaonesha mashindano ya 'basketball' ya CRDB kombe la Taifa. Mie nachofahamu kandanda ni mpira wa miguu au soka au...
0 Reactions
2 Replies
294 Views
Ili kutendea haki timu zingine, ni bora mechi wanazoshiriki Simba na Yanga zichezeshwe na waamuzi kutoka nje ya nchi. Najua itakuwa ni changamoto kutekeleza hili wazo, ila huu ndio ukweli...
6 Reactions
54 Replies
4K Views
Zandaaaaaani, ikiwa Simba wataendelea na msimamo wao wa kuogopa kuleta timu uwanjani basi mamlaka zimepanga kutotoa tuzo kwa wachezaji waliofanya vyema msimu huu.
1 Reactions
12 Replies
783 Views
Mdau wa soka Ally Mayai Tembele ambaye alichukua fomu ya kugombea nafasi ya Urais wa shirikisho la soka Nchini (TFF) amesema hata yeye amekosa endorsment hivyo anasubiri mamlaka ziamue. "Nimekosa...
10 Reactions
65 Replies
4K Views
Yanga wamepanga kutuma barua TFF kuhusu waamuzi kutoka nje ya nchi kwaajili ya Derby ya kesho dhidi ya Simba Wanawasiliana na TFF ili kupata ufafanuzi, kutoa maoni, mapendekezo au malalamiko na...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
WANAMICHEZO sita wamejitokeza kuwania urais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) unaotarajiwa kufanyika Agosti 16, mwaka huu jijini Tanga. Taarifa iliyotolewa muda mfupi uliopita na...
0 Reactions
1 Replies
427 Views
Hadi sasa hakuna anayejua kama Simba italeta timu uwanjani kesho tarehe 25 June pale kwa Mkapa. Jamaa wapo vema sana kwenye kulinda taarifa. Hata MOSAD wasingepata taarifa kama Simba itacheza au...
7 Reactions
17 Replies
1K Views
eshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limethibitisha kuwa limechukua hatua kali za kiusalama kuelekea mchezo mkubwa wa soka kati ya timu ya Simba na Yanga utakaochezwa Jumatano, tarehe 25...
0 Reactions
2 Replies
344 Views
Simba wamecheza ngoma zote za Yanga, kadri mdundo wa Yanga alivopiga Simba wametii na kufanya kama Yanga alivotaka Yanga wakilalamikia waamuzi na kamati ya waamuzi Walipeleka hilo takwa TFF na...
8 Reactions
33 Replies
2K Views
Mwamuzi wa derby,Amin Omar,amechezesha jumla ya mechi (239),kwenye hizo mechi ametoa kadi za njano (823) ametoa jumla ya kadi nyekundu (47). Soma, Pia: Waamuzi wa derby wanatoka nje ya nchi, basi...
1 Reactions
5 Replies
754 Views
Kesho kiwake tu mamake watu wauane. Ila Match ya kesho kwa lolote likitokea Simba lazima wamulaumu Refa na watasema ni shabikiwa al masry
1 Reactions
4 Replies
305 Views
Kwanini watu wenye asili ya Latin (Italy, Spain, Portugal, Argentina, Brazil) wanacheza sana soccer pasipo kujali wapo bara gani (Ulaya au America)? Siri yao kuu ni nini? Ninaomba kuelimishwa...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Kamati ya uchaguzi ya TFF bilashaka inaundwa na watu wa mpira nchini, na watu wanaowania kugombea uongozi wa TFF ni watu wanaofahamika CV zao, hii kanuni ya endorsement kwa watia nia Iko kwa...
5 Reactions
32 Replies
2K Views
Ila sisi watu weusi sijui tumelaaniwa yaani watu na akili zao wanaamua kuweka mfumo wa uchaguzi wa kinafki . Halafu wanashupalia kichwa kwamba uchaguzi ni wa uhuru wa haki na kidemokrasia...
0 Reactions
0 Replies
170 Views
🔮 Final Prediction: 🟢 Young Africans Sports Club is favored to win or draw, based on: Match and name numerology (4) Capricorn Moon (structure, defense) Astrological support from Venus and Saturn...
0 Reactions
1 Replies
492 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…