Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

MENGI SANA JARIBUNI KUBAKIZA MACHACHE JAMANI WENGINE WANAFUNGUA WANAKUTA POST ZA 2012 WANAVAMIA SIO KWA UBAYA WANAJUA ZA KARIBUNI MSAADA PLS
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nikili wazi kabisa mm ni mfatiliaji wa mechi wanazolusha azam tv iwe ligi ya spain, ligi kuu tanzania bara au mechi za CAF kiukweli kabisa wamejaliwa watangazi wazuri wa mpira. Mwanzoni wakati...
1 Reactions
34 Replies
10K Views
Nikifikiria mechi iliyo mbele yetu ya kufuzu AFCON, naona ni mechi rahisi sana kwetu. Lakini kinachoniwazisha zaidi ni kwamba ni mechi ambayo kwanza Refarii atakua na wasiwasi sana na maamuzi yake...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Je! Unakubaliana na mimi kuwa huyu ndiye king of football kuwahi kutokea since dunia iumbwe!! Wachache sana watakuja kupinga lakini huu ndiyo ukweli wenyewe.
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Kuna mtu humu simkumbuki aliwahi kuandika uzi usemao "Taifa starrs hatuendi Cameroon" ,ilikuwa hata kabla ya mechi na lesotho na alitoa pointi zake, na aliongea kwa kujiamini sana, naanza...
0 Reactions
1 Replies
612 Views
Jezi za mbabane zinauzika kama njugu huko mitaa ya twiga Tukutane taifa Uzalendo mwisho leo
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Leo kutakuwa na mtanange wa kukata nashoka kwenye moja ya viwanja bora kabisa nchini, uwanja wa kaitaba huko bukoba, yanga atakuwa akitafuta points tatu muhimu ili kujikita kileleni mwa ligi na...
11 Reactions
204 Replies
19K Views
2566 League One Sunderland - Barnsley 1X 1.40 2556 League One Bristol Rovers - Gillingham Over(1.5) 1.24 1195 UEFA Champions League Bayern Munich - Benfica Lisbon 1 1.32 1280 UEFA Champions League...
2 Reactions
1 Replies
708 Views
Game 2 8193 Primera Division Real Sociedad - Celta Vigo X2 1.90 4121 Serie A Cagliari - Torino X2 1.38 5523 Liga 1 Madura United - Psis Semarang Over(1.5) 1.16 4970 Ligue 2 Metz - GFC Ajaccio 1...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Ilikuwa kama vile Morata asajiliwe na Man Utd na Lakaku asajiliwe na Chelsea. Lakini imekuwa kinyume chake. Man Utd wamemsajili Lakaku na Chelsea wanamsajili Morata. Wapo wanaodai kuwa Lakaku ni...
9 Reactions
171 Replies
29K Views
Watu wana maneno sana wakati Ronaldo yupo Real Madrid akifunga magoli 40+ kwa msimu kuna baadhi wakaanza maneno eti Ronaldo anabebwa na kina Benzema kwani wanalazimika kumpasia yeye tu ili afunge...
13 Reactions
145 Replies
13K Views
Hivi walitumia vigezo gani walitumia kumchagua uyu ndugu karia RAIS wa taasisi kubwa kama tff anashindwa kushwawishi wadhamin kuja kuwekeza pale Yaani yupo yupo tu na program anazozileta zisizo...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Wakati Ronaldo Luiz Nazario De Lima aliposajiliwa Inter Milan mwaka 1997 alikuta jezi namba 9 inavaliwa na mshambuliaji mahiri wa Chile, Ivan Zamorano. Hivyo kutokana na sababu za kibiashara...
3 Reactions
16 Replies
4K Views
Patashika la mtifuano wa ligi kuu ya Tanzania bara TPL, linatarajia kutimua vumbi leo Ijumaa Novemba 23, 2018 na kesho kutwa ambapo katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam mabingwa wa nchi...
5 Reactions
169 Replies
18K Views
Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imepitisha majina ya wagombea nyadhifa mbalimbali za uongozi ndani ya klabu ya Yanga. Nafasi hizo ni zile za Uenyekiti, Umakamu na zile za...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
-Basi la mashabiki lililoenda Lesotho kuisapoti timu yetu ya Tanzania kwenye mchezo kufuzu Afcon 2019 kupitia Mbeya hadi Afrika Kusini sasa limegeuka basi la Walevi na wafanya Starehe. Basi hilo...
9 Reactions
92 Replies
10K Views
Timu ya mpira wa miguu wa Ufukweni ya Tanzania imetwaa ubingwa wa michuano maalum ya Beach Soccer ya Copa Dar Es Salaam 2018 baada ya kuichapa Uganda 2-1 kwenye mchezo wa fainali Nafasi ya tatu...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Aman kwenu Naomba kujua online TV itakayo onesha hii mechi
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Huyu jamaa hana uwezo wa kucheza timu kubwa! Hajui kukontroo mpira, ana touch mbovu, ni mzito sana na mwisho huwa haonekani kwenye mechi kubwa, kwa kifupi ni mzigo na hafai kuwepo kwenye timu...
15 Reactions
161 Replies
63K Views
Kombe pekee walilokuwa wana nafasi ya kushinda ni lile la Carabao Cup ambalo wameondoshwa jana baada ya kufungwa 2-1 na Bristol City ya daraja la kwanza. Hivyo amebaki kwenye Michuano ya Ligi...
6 Reactions
94 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…