Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,625
- 38,751
Jezi za mbabane zinauzika kama njugu huko mitaa ya twiga
Tukutane taifa
Uzalendo mwisho leo
Tukutane taifa
Uzalendo mwisho leo
Sawa msijemkazikimbia hizo jezi kesho, zinunueni na mje Kwa wingi uwanjani tupate kiingilio cha kutosha alafu tuwagongeshe sakafuuu
Mikusanyiko isiyokuwa na kibali mtapewa kipigo cha mbwa Koko!Uli msipate mapato tutakaa nje na jezi zetu tunavaa ndani nje tunavaa nyekundu kusubiri fungulia mbwaa..hahahah