Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Moja kwa moja niende kwenye mada,leo ilikuwa London derby kati ya Arsenal na Spurs uwanja wa Emirates, arsenal walikuwa wa kwanza kabisa kupata goli dakika kumi mwanzo kwa tuta ila spurs wakaja na...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Sintofahamu yaendelea kuikumba Yanga FC, Kakolanya na Yondani hawatacheza kwenye mechi ya leo saa kumi dhidi ya Tanzania Prisons Yanga yenye alama 35 ikiwa na michezo 13 inaendelea kuwa kinara wa...
2 Reactions
38 Replies
6K Views
Mbona ameondoka na timu imeimarika ? Full Time : Arsenal 4 - 2 Totenham Hotspurs .
5 Reactions
34 Replies
3K Views
Jamani kuna yeyote anafahamu wapi naweza kuona live streaming ya hii game?
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Taarifa kutoka katika klabu hiyo zinaeleza kuwa Habibu Kyombo alifanyiwa vipimo hivyo jana majira ya saa 7:00 mchana katika makao makuu ya klabu ya Mamelodi Sundowns nchini Afrika Kusini na sasa...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Mashabiki wa arsenal mjifanye kama mnajikuna matokeo yenu tunayo arsenal 1-2 spurs
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Tanzania imeanza vizuri katika mashindano ya wabunge yanayoendelea Bujumbura nchini Burundi baada ya kung`ara katika mchezo wa Volleyball. Kwenye mchezo wa Volleyball, wabunge wa Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nionavyo binafsi, Mpenda soka yoyote yule ni lazima awe mwanachama au mpenzi wa timu fulani huku pakiwepo na upande pinzani. ikumbukwe hakuna fomula moja katika kuchagua au kupenda timu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tumecheza mechi 3 kwa siku nane tena tunasafiri mkoa kwa mkoa wachezaji wanachoka ila kwa perfomance ya leo nimefurahi sana. Jambo lingine lililonifurahisha wachezaji wangu wanacheza mechi bila...
3 Reactions
14 Replies
3K Views
Huyu mtu ni mpambanaji asiyekata tamaa na ambaye haki yake anaijua hasa !
4 Reactions
10 Replies
3K Views
Klabu za As Vita ya DRC Congo na zamalek ya misri zipo tayari kumnunua kwa Dola 200,000 ( ambazo ni sawa na Sh460 milioni),. Meneja wake alisema fedha hizo zitakagawanywa mara tatu, Simba...
3 Reactions
45 Replies
8K Views
efmtanzaniaRegrann from @tvetanzania - Kamati ya Rufaa ya Maadili ya TFF imetupilia mbali rufaa ya Ndg Michael Wambura aliyefungiwa maisha kujihusisha na soka baada ya kupitia hoja zake za kukata...
0 Reactions
63 Replies
7K Views
Pia, soma Wamiliki wa Uwanja wa Taifa wagoma kuwasha taa, sasa mechi zote kuchezwa saa 10 jioni - JamiiForums
0 Reactions
14 Replies
6K Views
Timu ya mpira wa miguu Yanga Afrika imbeibuka na ushindi wa magoli matatu huku vyavu zao zikiwa hazijaguswa. Magoli ya Yanga yamefungwa na Heritier Makambo(dk 20), Mrisho Ngassa(dk 53) na Ajibu...
3 Reactions
72 Replies
11K Views
Mahakama kuu yamlejesha Michael Richard wambula kwenye nafasi zake, yaani umakamu wa Rais pamoja na uenyekiti wa MKOA wa Mara, maana yake ni kuwa Nyamalani anapoteza sifa za kaimu makamu wa Rais...
7 Reactions
27 Replies
5K Views
I came across this website talking about the 1xbet bookmaker platform in Nigeria. I was shocked to even know that the bookmaker is in Africa. Please, since when has it been around?
0 Reactions
2 Replies
791 Views
VIFUATAVYO NI VIWANGO VYA FIFA KWA NCHI YA TANZANIA KWA WANAUME NA WANAWAKE KWA TAKWIMU HIZI INAONYESHA DHAHIRI KAMA WANAWAKE WA TANZANIA WANASAKATA SANA KABUMBU TOFAUTI NA WATANZANIA AU KUNA...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Leo nilibahatika kuangalia mechi ya mtibwa sugar ya confederation cup(caf)kupitia azam TV..kiukweli nimeshangaa sana,yani imekuaje hawa mtibwa wacheze mexhi kubwa kiasi hiki!?kwani yanga hawapo...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Kuna baadhi ya nchi zimeanza kuruhusu matumizi ya bangi. Je ni sawa kwa mchezaji kucheza mpira wa miguu ikiwa ni mvuta bangi? Kwasababu wachezaji walevi wa pombe wapo na wanajulikana ( akina...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…