Mayala masuka
JF-Expert Member
- Jan 22, 2014
- 434
- 774
Sintofahamu yaendelea kuikumba Yanga FC, Kakolanya na Yondani hawatacheza kwenye mechi ya leo saa kumi dhidi ya Tanzania Prisons
Yanga yenye alama 35 ikiwa na michezo 13 inaendelea kuwa kinara wa ligi
MY TAKE; kwa nini uongozi usituweke wazi, tupime endapo wachezaji ndiyo wanatumika kuihujumu timu au la timu yenyewe ndiyo inayowahujumu, wachezaji hao.?
Anyway naiombea leo ushindi yanga, mbele ya maafande wa magereza.