Kuna maneno mengisna miongoni mwetu washabiki wa Simba ,kuwa Kocha Mwinyi Zahera alikuwa bega kwa bega kuisaidia Vita .Matokeo yake alikosa muda wa kuungana na timu yake kwenda kuwavaa...
Top 3 wanaoteseka na kuumia zaidi kwa maana mda wote walikuwa wanaomba simba fc apoteze.
Umaarufu wao pia utashuka mtaani hadi Simba atakapotupwa nje ya mashindano ya Club bingwa Africa .
1...
Wasalaam..
Kwanza kabisa lazima tukubali mpira ni mchezo wa kistaarab na wa amani na wakudumisha mahusiano....na si vurugu na uhuni.
Simba wanakuwa wajinga na wahuni kuwazuia wenzao kufanya...
Simba SC haina ubavu tena wa kupata point hata moja, hivyo basi itakuwa ya mwisho kwenye kundi lake na point 3 ilizozipata kwa Saoura!
Baada ya mechi zote , msimamo utakuwa kama ifuatavyo:
1 Al...
Wote mtakubaliana na mimi kwamba as vita aliecheza kipindi cha kwanza sio yule aliecheza kipindi cha pili...zilikua ni team mbili tofauti kabisa.
Kipindi cha pili as vita walionekana kulegea na...
Binafsi naona ratiba inaibeba Simba SC na kama watalitambua hilo, wanaweza kupenya kwenda robo fainali. Simba SC ataanza nyumbani na Saoura kabla ya kucheza mechi mbili mfululizo ugenini na AS...
Kuelekea mechi ya Simba SC dhidi AS Vita Club kutoka Kongo, hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Barani Afrika, mchezo utakaovurumishwa Jumamosi Machi 16, 2019 kunako Uwanja wa Taifa jijini Dar es...
Sasa naanza kuelewa kwanini rage aliwaita simba mbumbumbu....zile video clips zikiwafikia CAF mtajiweka kwenye position mbaya sana nyinyi mbumbumbu..ndio mwanzo wakuanza kucheza bila mashabiki...
Wasalaam
Wale wanaojipa matumaini eti Simba atambamiza Vita mnajipa ugonjwa wa moyo bure bure. As Vita sio wa kuaga haya mashindano kwa kutolewa na Simba hii.
Kama unabisha tukutane saa tatu...
Manara amepost maneno na kumuonya Zahera eti ameonekana na timu ya AS Vita Club swali 1.Zahera amevunja sheria ipi ya mpira 2.Mamlaka yapi yanampa Manara kutoa kauli hizo 3. Anawahadaa na...
Kwenye social media mbalimbali hawa Vita wanaeneza tuhuma na wanadai wametuma malalamiko CAF,kwamba Kwenye vyumba vya kubadilishia nguo Simba wame spray sumu.
Lakini kwanini malalamiko iwe baada...
Kundi hili ni gumu kama la Simba, ukiangalia pointi zinafanana kabisa. Wakenya pambaneni na nyie muwakilishe E.A kwenye shirikisho kama Simba kwenye club bingwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku zingine Watu wenye umakini na jambo fulani wakiwa wanaandika na kushauri hapa msiwe wepesi sana wa Kutukana au Kudhihaki na badala yake muwe mnayasoma vizuri, kuyatafakari na hasa muyafanyie...
Yule mchambuzi matata wa soka aliyeitabiria simba kuburuza mkia ktk kundi lake ameibuka na kudai yeye ndiye ameipa hamasa simba mpaka imefika robo fainali.