Simba kwaa huu ujinga na uhuni mnaofanya dhidi ya Vita lazima mfungwe na kupigwa fine.

Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
47,391
2,000
Wasalaam..
Kwanza kabisa lazima tukubali mpira ni mchezo wa kistaarab na wa amani na wakudumisha mahusiano....na si vurugu na uhuni.
Simba wanakuwa wajinga na wahuni kuwazuia wenzao kufanya mazoezi na kuendelea kuwafanyia vurugu... Lakini lazima tujiulize je Simba walipo kwenda Congo walipokewaje? walifanyiwa kama wanayo yafanya dhidi ya Vita?
Simba wamegundua hawawezi kuwafunga Vita uwanjani?
Simba na uongozi kwanini mmejigeuza wajinga kiasi hiki?
Hivi mnajua mtakutana na Rungu la CAF kwa huu upuuzi?

Simba kwa mwendo huu inahitajika miujiza kushinda mechi ya leo maana kisaikolojia mmeshafungwa kabisa....
Mpira unachezwa uwanjani.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom