Kikosi cha Uganda'The cranes' kitakachoivaa Taifa stars.

byeyombo

JF-Expert Member
Sep 3, 2015
2,253
3,620
Goalkeepers: Denis Onyango (Mamelodi Sundowns, South Africa),
Robert Odongkara (Adama City, Ethiopia), Salim Jamal Magoola (Al Hilal, Sudan)

Defenders: Murushid Jjuuko (Simba, Tanzania), Denis Timothy Awany (KCCA, Uganda), Halid Lwaliwa (Vipers, Uganda), Geofrey Walusimbi (Free Agent), Joseph Ochaya (TP Mazembe, DR Congo), Kirizestom Ntambi (Ethiopian Coffee), Nico Wakiro Wadada (Azam, Tanzania)

Midfielders: Khalid Aucho (Churchhill brothers, India), Hassan Wasswa Mawanda (Free Agent), Tadeo Lwanga (Vipers, Uganda),
Milton Karisa (MC Oujda, Morocco), Ibrahim Sadam Juma (KCCA, Uganda), Moses Waiswa (Vipers, Uganda), Moses Opondo (Vendsyssel FF, Denmark)

Forwards: Faruku Miya (Gorica, Croatia), Emmanuel Arnold Okwi (Simba, Tanzania), Allan Kyambadde (KCCA, Uganda), Allan Okello (KCCA,Uganda), Edrisa Lubega (SV Ried, Austria), Muhammad Shaban (Raja Casablanca, Morocco), Henry Patrick Kaddu (KCCA, Uganda)
 
Attachments

  • Museveniball1a-703x422.jpg
    Museveniball1a-703x422.jpg
    29 KB · Views: 28
Okwi, Juuko na Wadada - Kwa sasa ni nusu Watanzania. Nawashauri wajitoneshe goti ili asicheze hii gemu. Wakumbuke kuwa Uganda ishafuzu na haina cha kupoteza.
 
Jamaa wameshafuzu ila wameita kikosi ''full mziki'' na kambi wameenda kuweka nchini Misri.... Daaah
 
Goalkeepers: Denis Onyango (Mamelodi Sundowns, South Africa),
Robert Odongkara (Adama City, Ethiopia), Salim Jamal Magoola (Al Hilal, Sudan)

Defenders: Murushid Jjuuko (Simba, Tanzania), Denis Timothy Awany (KCCA, Uganda), Halid Lwaliwa (Vipers, Uganda), Geofrey Walusimbi (Free Agent), Joseph Ochaya (TP Mazembe, DR Congo), Kirizestom Ntambi (Ethiopian Coffee), Nico Wakiro Wadada (Azam, Tanzania)

Midfielders: Khalid Aucho (Churchhill brothers, India), Hassan Wasswa Mawanda (Free Agent), Tadeo Lwanga (Vipers, Uganda),
Milton Karisa (MC Oujda, Morocco), Ibrahim Sadam Juma (KCCA, Uganda), Moses Waiswa (Vipers, Uganda), Moses Opondo (Vendsyssel FF, Denmark)

Forwards: Faruku Miya (Gorica, Croatia), Emmanuel Arnold Okwi (Simba, Tanzania), Allan Kyambadde (KCCA, Uganda), Allan Okello (KCCA,Uganda), Edrisa Lubega (SV Ried, Austria), Muhammad Shaban (Raja Casablanca, Morocco), Henry Patrick Kaddu (KCCA, Uganda)
Hivi serikali haiwezi kukaa kidplomasia na hawa Waganda wakatulegezea maana kifuatacho huko mmh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania tuna wachezaji wazuri, tatizo ni kocha hana hamasa na pia ana kikosi kibovu sijui hanabwashauri au wanamuogopa?; kwa aina ya wachezaji tulionao sasa hivi ingekuwa hamasa ya enzi za maximo tungefuzu. Ila kwa huyu Amunike Mungu Atusaidie tu, hata kama tukifuzu huko mbele ni balaa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom