Mzee Akilimali amedai Yanga ni klabu kubwa na haiwezi kukodishwa kama masufuria ya kwenye shughuli kwa ajili ya kufaidisha mtu mmoja
===============
Habari Zaidi
===============
Siku kadhaa...
Ronaldo being a better goal scorer than Lionel Messi is a myth. Thread:
Most goals in a single season:
Lionel Messi - 73
Cristiano Ronaldo - 61
Messi holds the record for the most goals...
*Maoni ya mchambuzi george ambangile [emoji1541]*
Haaland au Greenwood .
Naona Manchester United wanahusishwa na Erling Haaland ambaye ana miaka 19 wakati tayari kwenye kikosi chao wana Mason...
"Hali yangu mbaya naomba wana Yanga na wapenda michezo wote waniombee, kisukari kinanitesa sana nipo huku Bagamoyo nikijiuguza"
- Mzee Akilimali.
Sent using Jamii Forums mobile app
"Hali yangu mbaya naomba wana Yanga na wapenda michezo wote waniombee, kisukari kinanitesa sana nipo huku Bagamoyo nikijiuguza"
- Mzee Akilimali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aston Villa have been heavily linked with a move for Glasgow Rangers striker Alfredo Morelos, but doubts remain whether the Ibrox club will offload him in January.
Dean Smith’s side find...
Kwa mujibu wa mtandao wa Global Soccer Award, hiki ndio kikosi bora cha miaka 10 (Muongo/Decade).
Nani amesahaulika, nani atoke? Au unakubaliana na kikosi?
Karibu kwa mjadala.
Kwa yaliyotolewa na mwenyekiti wa klabu ya Yanga,aisee inasikitisha,boat inaendelea kuzama
Hali ya kipesa ni mbaya zaidi kwenye klabu hii ya wananchi
Madeni zaidi ya bilioni 2 ni hatari hata...
Watu wanaofanya mazoezi ya kukimbia na kutembea wana mambo mengi yanayofanana. Wote wanatumia njia mbalimbali kufikia malengo ya kuimarisha afya ya mwili.
Changamoto inajitokeza ni kwenye faida...
Kaka yangu ndugu Matumla na watanzania naomba niwajulishe Hassan Mwakinyo kulalia kamba sio kosa na wala yeye sio wa kwanza.
Bondia wakubwa kadhaa wameshatumia sana hiyo mbinu lengo likiwa...
Tumeona timu za Ulaya zikishushwa madaraja kwa kufirisika na hasa timu inaposhindwa kulipa mshahara wachezaji wake , Portsmouth ya England na Parma ya italia ni mifano halisi .
Kwanini Yanga...
Nimekosa maneno ya kuandika naomba muangalie tu huyu fundi alikuwa anawafanya nini mabeberu.
Kama ana undugu na Gaucho kwa mbwembe na Messi kwa upigaji mipira na faulo.
Cristiano Ronaldo anasubiri...
Kwa mujibu wake mwenyewe amesema kwamba hali ya Kiuchumi ya Yanga SC ni mbaya kutokana na sababu hizi zifuatazo:
Yanga SC inadaiwa na TRA
Yanga SC inadaiwa na Wachezaji wa Kigeni
Yanga SC...
Mwenyekiti wa klabu ya Yanga, Dkt. Mshindo Msolla ametoa ufafanuzi juu ya mapato na matumizi ya klabu hiyo tangu uongozi wake ulipoingia madarakani, Juni 2019, huku akibainisha uwepo wa madeni...
Naimani mpo poa.
Kiukweli uwanja huo haujawahi kupata shughuli kubwa kama hii ya 9 December. Kutokana na maandalizi ya gwaride lililofanyika hapa takribani wiki 2 hivi na mvua zilizokuwa...
Kupitia mpira wadau wa mpira wilaya ya Misungwi mkoani mwanza wameamua kujenga uwanja mpya wa kisasa zaidi ambao uko nje kidogo na jijini la Mwanza wenye uwezo wa kubeba zaidi ya watazamaji elfu...