Habari za Jumamosi Wanamichezo wenzangu
Nimeshangazwa sana na kitendo cha Rais wa TFF kwenda kugombea na hatimaye kuukwaa Urais wa Shirikisho la Vyama Vya Soka kwa nchi za Afrika Mashariki na...
Tutajie mechi iliyokuvutia mwaka huu 2019, tukiwa tunakaribia kuuaga mwaka huu si vibaya tukakumbushana mechi bora ya mpira wa miguu iliyokuvutia inaweza ikawa Tanzania, Africa, EPL, La Liga...
KIUNGO mkabaji chipupizi wa Tanzania, Ally Msengi amesajiliwa na klabu ya Stellenbosch ya Ligi Kuu Afrika Kusini kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea Kinondoni Municipal Council (KMC) ya Dar es...
Kumekuwa na mjadala mkubwa sana kuhusu ipi ni ligi bora kati ya la liga na EPL. Niseme kitu kimoja ambacho kinawachanganya watu ni vitu viwili: ushindani na ubora, watu wameshindwa kutofautisha...
Umuofia kwenu.
Habari za weekend ndugu zangu.
Huu ni uzi maalum kabisa kwa wana JF wote wanaopenda na wanaoshiriki Kilimanjaro Marathon.
Mbio zijazo zitafanyika tarehe 01.03.2020.
Mbio hizi...
Kilichotokea uwanja wa Sokoine Mbeya ni matusi, uonevu,kebehi,dharau,na manyanyaso kwa wapenda soka na michezo kwa ujumla.
CCM kwa makusudi huku wakijua kuwa Yanga watacheza mechi kesho...
Wengi wamekuwa wakiwaimba na kuwatukuza akina Mane na Salah pale Liverpool.
Roberto Firmino "Bobby" ana kipaji maridhawa sana, amejaaliwa control ya hali ya juu mno, touch za hatari, bila...
MAESTRO ANDREA PIRLO 'REGISTA' THE FOOTBALL PIANIST VERSION YA LEIFE ANDSNES
.
Unamfahamu mtu mmoja anaetambulika na dunia kama mwenye ubora kwenye piano Kama Leif Ove Andnes, huyu bwana alipewa...
Naaaaaaam! Salaam Tanzania na duniani kote..
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania VPL kuendelea kupigwa leo Desemba 25, 2019 kwenye uwanja wa Uhuru, jijini Dar es salaam ambapo Mabingwa wa Nchi, Simba...
Mshambuaji wa Kimataifa wa Tanzania Thomas Ulimwengu, amekamilisha usajili wa kujiunga na timu ya Al Hilal ya Sudan kwa mkataba wa mwaka mmoja.
Wakala wa mchezaji huyo Jamal Kisongo amesema...
Huyu jamaa ni overrated. Binafsi sijawahi kumuelewa Thomas Ulimwengu na aina yake ya uchezaji. Miaka nenda rudi, Ulimwengu ana uhakika wa kuitwa na kucheza timu ya Taifa ya Tanzania.
Je ni kipi...
Kloop hajui kucheza na timu zinazocheza samba
Klop huwezi kuchukua hili kombe
Gengenpress yake hufanya kazi kwa timu zinazocheza soka za kujilinda
Flamingo itamtafuna jogoo wa uingereza kwa...
Wakuu, hawa jamaa wamekazana kutulisha uongo kuwa ligi bora duniani eti ni EPL.
Vigezo vingi tu vya uhalisia dhidi ya uongo wa Clouds, nakumbuka hata aliyekuwa rais wa FIFA SB alitamka wazi kuwa...
Leo tunae [emoji117] Alvaro Recoba
Anaitwa Alvaro Alexander Recoba Rivero alizaliwa mwaka 1976 huko Montivedo Uruguay. Jina lake la utani lilikuwa "El Chino" likiwa na maana ya mchina, hii ni...
Jana bondia Anthony Joshua alichapwa katika pambano la ndondi ambalo halikupata uzito mkubwa kutokana na fainali ya UCL.
Leo hebu tujikumbushie mapambano ya ngumi yaliyotamba miaka ya nyuma...
Wengi walipoona GSM akifanya usajili wa dirisha dogo walizani neema imerudi Yanga na ni mwendo wa shangwe km lote. Nilipomsikiliza Nugaz akihojiwa wasafi Radio kwenye Sport Arena nilithibitisha...