Klabu ya Simba ipo njiani kuifanyia marekebisho nembo yao ili iwe ya kisasa na iendane na wakati.Inasemekana kuwa wapenzi wa Simba hawataki kumwona Simba aliyekonda katika nembo hiyo, hivyo...
Haya ni mambo 5 yanayoniumiza sana Roho
1. Kucheza ligi ambayo mpinzani wa jadi ni Yanga. Hii ni kudhalilisha team ya Simba.
2. Simba kucheza dakika 90 kama team nyingine.hii si haki.sisi...
Lengo la kuileta tech hii lilikua zuri isipokua kumekuwepo mapungufu au dosari katika mfumo huu, nini kilitakiwa
1) Var ilitakiwa iwe ina operate yenyewe kama mashine katika maamuzi kwa 95%...
Tanzania tumepangwa kundi D ambalo lina timu:- Tanzania, Zambia, Guinea na Namibia. jJe wadau wa mpira katika kundi hili hatuoni kwamba tutakuwa tumepata nafasi angalau kati ya mshindi wa kwanza...
.
Manchester City wamefungiwa kutoshiriki Michuano ya UEFA kwa misimu miwili (2020-2022) na faini ya Euro Million 30 hii inatokana na kukiuka masherti ya kanuni ya Financial Fair Play (FFP)
...
Ukizungumzia mastriker wenye umri mdogo ulaya na dunian kwa ujumla huwezi acha kumataja huyu dogo anaecheka na nyavu kila siku dogo hallanda
Kwa watu wa man untd miyoni mwao watakua wanajilaumu...
Naaam...bila shaka wote hamjambo kabisa, na nasema Amani iwe kwenu Mungu Awatangulie..!
Ni Jumamosi nyingine ya February 15, 2020 ambapo nyasi kwenye viwanja mbalimbali kuwaka moto katika...
Hii timu haieleweki kiukweli,ilivyofunguliwa ile ban ya kusajili nikajua timu itasajili watu wa maana lakini imekua hovyo,Abramovich huyu sio yule ambaye alikua haoni shida kutoa hela ya maana ya...
Aman iwe nanyi
Naomna kuuliza kenge gan mpuuz gan alileta kocha mpya wakati Boniface mkwasa akiwa anafaa kabisa na kutosha kamili gado kwenye kiti cha ukocha wa yanga
Mpuuz gan huyo anatuhujumu...
Kama ilivyo Ada mashabiki wote wa Yanga sc na Tanzania Prison tutakuwa hapa kupata update ya mtanange mkali kabisa utakaopigwa pale uwanja wa Taifa kwenye mida ya saa 1 kamili usiku,
Kabla ya...
POLEN sana. wana Yanga wenzangu waacheni watakawatakaosemaa tugange ya mbeleni
Leo nimeona nishauri HILI jambo VIONGOZI wangu WA Yanga wanapenda sana HILI jukwaa kwa TAARIFA tu
Ila zaidi n...
Namshuhudia Tshishimbi akicheza kiwango cha ajabu kabsa. Kipindi kizima cha kwanza hajapiga complete pass 10.
Pasi zote anawapa Prison au anapiga nje. Hili ni tatizo ambalo linazidi kukomaa na...
Huyu mhamasishaji wenu hafai hata kidogo. Anaongea kama lialia, anatafuta huruma siku zote.
Hii staili ya uongeaji haifai kabisa kwa mchezo wanaocheza wanaume. Aangalie WWE aone wababe...
Timu ya Manchester City imefungiwa kushiriki mashindano ya European Champion League na Europa League katika misimu inayokuja ya mwaka 2020 / 2021 na 2021/ 2022.
Hii inatokana na timu hiyo tajiri...
Amkeni amkeni..hatimaye Yanga wameanza kutumia GPS vest na kuwa klabu ya kwanza nchini na ukanda wote wa kusini mwa Jangwa la Sahara kuwahi kuzitumia..
GPS vest moja inagharimu milioni...
Nasema mpaka sasa TFF ishajiingiza kwenye mtego wa Simba na Yanga na kujinasua itakuwa ngumu sana. Lineman aliyeshindwa kung'amua offside ya kagere amefungiwa miaka 3. Offside hii ilikuwa ngumu...
Tukiwa pale nyumbani nou mestalla leo saa tano usiku wale wenye nia mbaya na atletico madrid basi wasijali tunawaripia kisasi na bila kusahau kisasi chetu binafsi maana kanionea sana ..
-all is well-
Mheshimiwa Waziri wa Michezo nakuomba sana usifikirie Kupunguza idadi ya wachezaji wa kigeni kwenye timu zetu za ligi kuu.
Kwa hivi karibuni timu zetu za Simba na Yanga zimekuwa zikishindana...
Kocha wa Yanga, Luc Eymael amesema kuwa sababu iliyopeleka kushindwa kupata pointi tatu dhidi ya Mbeya City ni kutokana na aina ya mchezo waliocheza wapinzani wao.
Mchezo huo uliopigwa katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.