Kutoka Uwanja wa Taifa Dar, Ligi Kuu Tanzania Bara: Yanga 0 - 0 Tanzania Prison

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
12,311
2,000
Kama ilivyo Ada mashabiki wote wa Yanga sc na Tanzania Prison tutakuwa hapa kupata update ya mtanange mkali kabisa utakaopigwa pale uwanja wa Taifa kwenye mida ya saa 1 kamili usiku,

Kabla ya mechi kuanza nini mtazamo na maoni yako kulekea kwenye mtanange huo na Upi utabiri wako,

=====

Full Time: Yanga 0 - 0 Tanzania Prison

Mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara kati ya Yanga SC dhidi ya Tanzania Prisons katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam umemalizika kwa matokeo ya 0-0.

Bernard Morrison anakosa penati dakika ya 73 baada ya yeye mwenyewe kuangushwa ndani ya eneo la hatari.

Sasa Yanga wamebaki katika nafasi ya 3 kwa pointi 39 katika mechi 20.

Matokeo Matokeo mengine ya Ligi Kuu Tanzania Bara #VPL ni:

Mwadui 1-1 Namungo,

Mtibwa 0-1 JKT Tanzania,

Biashara United 1-0 Alliance FC,

Singida United 0-1 Ndanda FC,

Ruvu Shooting 1-0 Mbeya City,

Kagera Sugar 2-0 Mbao FC,

Azam 1-2 Coastal Union.

Simba 1-0 Lipuli


Cc Zero IQ


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom