Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Unaweza ukajiuliza kweli haya ndio malengo ya klabu ya Yanga kwa msimu huu licha ya kusajili wachezaji wengi wa kimataifa? Mpaka sasa Simba anaongoza ligi kwa point 62 huku Yanga akiwa na point 40...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa sisi tunaoangalia kupitia online, hii fainal tunaionaje?
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Yumo Sonso, Adeyumi, Makame na Balama. Yaani nyumba ya vyumba viwili na sebule wachezaji walikuwa wanaishi sita kukiwa na kitanda kimoja na magodoro. Hapo lazima lile moja alilopewa balama na GSM...
1 Reactions
39 Replies
5K Views
Naaam! Moja kwa moja kwenye mada. Jamii yetu ya Watanzania tulio wengi tunapenda sana maneno mengi bila vitendo. Nimekumbuka jambo hili na hatimaye kupata funzo na kukumbushwa maneno mengi bila...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Katika mechi iliyochezwa juzi kati ya Simba na Stand United baada ya matokeo kuwa 1-1 na kuingia kwenye matuta. Jambo hilo lilipelekea kifo kwa mtu mzima mmoja eneo la Kiwalani ambaye alikuwa...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Klabu bingwa hatua ya Robo fainali kuendelea leo kwa michezo miwili Raja Casablanca atakuwa mwenyeji dhidi ya TP Mazembe mchezo utakaochezwa saa 22:00 usiku. Mchezo mwingine ni mabingwa watetezi...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Anaejua channel yoyote kwenye DStv inaonyesha Europa league atusaidie tafadhari Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Katika hali ya kushangaza Klabu cha Simba tangu Dunia ianze leo wamevaa jezi nyeusi katika mechi yao dhidi ya Stand Utd Imezoeleka miaka nenda rudi timu ya Yanga SC ndio huvaa rangi nyeusi...
3 Reactions
10 Replies
8K Views
Yanga imemchezesha mchezaji ambaye hakuwepo hata Kwenye jukwaa la wachezaji wa akiba walioorodheshwa. Je wanaweza kupokonywa point Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
40 Replies
6K Views
Msemaji wa Timu ya Ruvu Shooting Masau Bwire amepelekwa kwenye Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF) kwa kosa la kutoa taarifa za uongo kwenye vyombo vya habari na kauli za...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Kila mtu sasa ni msemaji. Kindoki, Nugaz, Bimbuli, D Ten na leo kaibuka Muro. Tueleweshwe, hasa hasa msemaji ni nani?
1 Reactions
32 Replies
5K Views
Natumai wadau kila mmoja wenu ni mzima wa afya na poleni kwa Shughuli za leo katika kulijenga taifa katika kutamatisha siku kama ya leo kuna kitu kimoja unachoweza kufanya kama mdau wa soka ili...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Najuaa itawaumizaa kidogo wanna Yanga na kuwafurhisha Timu yetuu itapata wakati.mgumu sana na kama Ht watatoka drw yà 0-0 Basii tujiandaee kisaikolojia na ushindi via penalty
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Game ya Chelsea vs Bayern ninawezaje kuangalia kupitia online live? Mwenye kujua aniambie please.
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Lipuli wanachezeshwa lizombe kwa kasi ya ajabu, ama kweli timu nyingine bila kubebwa na marefa na magoli yao ya offside wangekuwa wapi sijui. Sent using Jamii Forums mobile app
7 Reactions
41 Replies
7K Views
Michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports Federation Cup (ASFC), hatua ya 16 bora, kupigwa leo February 25, 2020 ambapo Stand United Chama la Wana, wanawakabili Simba SC, Wekundu wa Msimbazi...
4 Reactions
189 Replies
15K Views
Timu ya Wananchi Yanga inacheza jamani, cha ajabu leo hata ka uzi kakuonesha kuwa wananchi wapo mawindoni hamna. Hivi nyie Yanga ni timu yenu ikiwa na matokeo mazuri tu? Mmekimbia leo kwenda wapi...
5 Reactions
87 Replies
9K Views
Ukiwa mzee wa mikeka hakika hakuna magumu yatakayokushangaza maana huku ndiko kuna supprise za kutosha mfano maajabu niliyowai kutana nayo.. Umeweka 2+ ndani ya dkk 5 limepigwa goli moja.. hapa...
24 Reactions
48 Replies
11K Views
Wakati anaanza kufundisha Timu ya Barcelona kutoka kwa mtangulizi wake Frank Rijkaard mwaka 2008, wengi nikiwemo mimi hawakuamini kama Josep Pep Guardiola anaweza kufanya makubwa hasa kutokana...
16 Reactions
80 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…