Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Heri ya sikukuu ya Noeli wana JF, Hivi kuna watu wengine wanaota hii ndoto mbaya ambapo Jose Mourinho anakaribia kupatwa na maafa kama yaliyomkuta Coach mzoefu Carlo Ancelotti pale Bayern...
6 Reactions
27 Replies
3K Views
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Haji Manara amesema: "Washabiki wa Simba wamenijia ghafla leo ofisini na kunikabidhi shilingi milioni moja ambazo zilichangwa kwa hiyari na Group moja la Watsap...
5 Reactions
72 Replies
6K Views
Nimekusikia jioni hii ukihamasisha watu wajazane uwanjani mechi ya Simba na Yanga ila ukumbuke kuna Corona. Ikiwezekana milangoni muwapime watu joto sio kuwajaza tu uwanjani, likiibuka la kuibuka...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Kuna mdau mmoja wa michezo ameomba nimuwekee mawazo yake hapa! Naomba kuwasilisha!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wapenda mpira siku ya jumapili wiki hii kutakuwa na mtange wa kukata na shoka kati ya Yanga na Simba tar 8 march 2020. Kama kawaida kila upande huaamini timu yao bora. Naanza na uchambuz huu...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Hili jambo sasa limetamalaki mno kwa Viongozi, pamoja na Graphic Designer wa Yanga, kutoheshimu logo maalum za timu nyingine, jambo ambalo si sahihi kwakweli tukiweka ushabiki pembeni. Wenye...
6 Reactions
169 Replies
22K Views
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Klabu ya Simba SC, Mohammed Dewji MO, amempongeza kocha Sven Vanderbroeck kwa kazi nzuri ya kukinoa kikosi hicho cha wekundu wa Msimbazi. "Hongera Kocha Sven...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Ifuatayo ni nukuu ya Shabiki wa Yanga FC na Mwandishi Mchambuzi Privaldinho aliyoiandika katika Ukurasa wake wa Instagram hasa baada ya Kuchoshwa na Uwendawazimu wa Mashabiki wengi wa Timu yake ya...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Wanabodi, Katika nchi yetu tumekuwa na mfumo wa kupata viongozi vya kisiasa kupitia mfumo wa vyama vya siasa na katiba yetu hairuhusu wala kutambua mgombea asiye na chama cha siasa...
1 Reactions
5 Replies
803 Views
Umeona kuwa Kesho Yanga SC yako ikicheza na Gwambina FC katika Kombe la ASFC kwa Udhaifu na Uchanga wa Timu hiyo ya Gwambina leo umejifanya Kujitokeza katika Vyombo vya Habari na kusema kuwa Kesho...
3 Reactions
75 Replies
11K Views
Hello Tanzania na Duniani Kote Patashika ya Ligi Kuu Tanzania, Vodacom Premier League (VPL), kuendelea kuvurumishwa leo Jumatano ya March 4, 2020, ambapo Wana Lambalamba Azam FC, wanawakabili...
15 Reactions
202 Replies
20K Views
Majina maarufu ya utani ya baadhi ya wachezaji wa zamani. "Golden Boy" - Zamoyoni Mogella. "Sikinde" - Celestine Mbunga. "Kizota" - Said Mwamba. "Kwasakwasa" - Jobe Ayubu. "Bwalya" - Frank...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Naona watu wengi wanabishana baada ya kutoka kibanda umiza kwamba goli la Everton la dakika ya 90+ ni OFFSIDE. Kwa kifupi ile ni offside ya wazi kabisa kwa wale wanaojua sheria za mpira. Sheria...
3 Reactions
16 Replies
3K Views
Kwa ujumla mechi ilikuwa ya kiwango kizuri na cha kuridhisha kwa mtazamaji kwa vipindi vyote viwili. 1. Simba walitawala sn kipindi cha kwanza na km wangeacha kucheza show game na kucheza...
4 Reactions
35 Replies
5K Views
Who is the challenger???? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
597 Views
Wenye kuelewa, kwanini FIFA linaitwa Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani, wakati IOC Inatambuliwa kama Kamati ya Olimpiki Duniani?
0 Reactions
1 Replies
678 Views
Hii ndiyo profile ya anayesemekana kuwa CEO Mpya wa Simba Sc. Je kwa kuiangalia CV huyu jamaa ana jipya? Ahsante https://za.linkedin.com/in/senzo-mazingiza-1b451a27
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Klabu ya Simba leo Septemba 7, 2019, imemtambulisha rasmi Senzo Mazingiza kutoka Afrika Kusini kuwa Afisa Mtendaji Mkuu (CEO), wa klabu hiyo, akichukua nafasi ya Crescentius Magori ambaye...
5 Reactions
85 Replies
16K Views
Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia anadaiwa kuwa miongoni mwa walionufaika na TZS milioni 46 ($20k) zilizogawiwa na Rais wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), Ahmad Ahmad...
9 Reactions
49 Replies
8K Views
Habar wakuu Rais wa shirikisho LA mpira baran afrika anashikiliwa na polis nchini ufaransa kwa tuhuma Za rushwa Hii inatokana na mkataba aliokuwa ameingia na kampun ya kijeruman ya kusambaza...
7 Reactions
44 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…