Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Kuna baadhi ya vitu vinaweza kukufanya ujifikiria mara mbili kama ulifanya chaguo sahihi kuwa shabiki wa Simba CS. Kuna upuuzi fulani ulifanywa na Utopolo FC kwa kumbeba mhabeshi alipokuwa...
4 Reactions
15 Replies
3K Views
Tupo Tayari Hatimaye ile sikukuu kubwa la kisoka Africa inafika kileleni leo katika viwanja vikubwa viwili Benjamin Mkapa na Uwanja wa Uhuru. Tutakuwa hapa kuwapa updates ya matukio na mechi...
25 Reactions
357 Replies
44K Views
Wakuu, Mimi nimekuwa mshabiki sana wa mabeki ambao wana uwezo mkubwa wa kumiliki mpira. Nilikuwa kichaa wa George Masatu na baadae Victor Costa. Baada ya Victor Costa niliamini kizazi cha mabeki...
8 Reactions
8 Replies
2K Views
Kutokana na usajili unaofanyika kwenye timu zetu, Simba Kuna mechi itafungwa magoli 5-1 na Yanga msimu ujao. Moderator tafadhali utunze pazuri huu uzi kwaajili ya matumizi ya baadae. Vigezo...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Nimemsikia mwenyekiti wa Yanga akidai kwamba mkataba ulikuwa na mapungufu na mapungufu siyo sababu ya kuvunja mkataba. Naomba kujua kisheria,je ni mapungufu yapi yanaweza kuchukuliwa ni ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hii michuano ni mazuri sana kwa kukuza vipaji lkn ina mapungufu ambayo ninayaona - Uwanja yaani kwa maana ya pitch sio mzuri hivyo clouds katika maandalizi yao na kwa vile wamepata wadhamini...
0 Reactions
3 Replies
740 Views
Nimegundua kuwa kila ninapokutia Malalamiko dhidi ya Mo Dewji basi Mlalamikaji ni Mashabiki wa Yanga na sio Simba! Je Yanga amekuwa na huruma kwa kumtetea Simba dhidi ya kile wanachodai ni Utapeli...
8 Reactions
35 Replies
3K Views
Hivi huyu Mo anawezaje bila aibu kusema bado hajawekeza Bilion 20 Kwa mujibu wa mkataba Ila anachofanya sasa ni kuipa Simba 'ruzuku' ya bilioni 3 kila mwaka? Simba sio timu ya kupewa ruzuku. Timu...
20 Reactions
135 Replies
9K Views
Kwa kauli yangu na akili yangu ilivyo na usawia wake sikupendezwa kabisa na kauli za kisiasa za Mo kwenye Tamasha letu la Simba Day. Kauli ambazo hazikubaliki michezoni na zinalenga kutugawa...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Habari zinaenea Yanga jana ilichezea kichapo cha 3-1 ikicheza na wanafunzi wa chuo huko Dodoma. Ilikuwa ni mechi ya kirafiki katika uzinduzi wa wiki ya wananchi. Hizi habari zi za kweli?
1 Reactions
9 Replies
3K Views
1: Siku kubwa. Matukio makubwa. Mechi kubwa[emoji1316] Bila shaka 'Simba Day' ni miongoni mwa Tamasha Bora Afrika kwa sasa 2: Diamond Platinumz[emoji1316] Tafsiri rahisi ya Msanii mkubwa. Bonge...
7 Reactions
23 Replies
4K Views
Hivi hapa Simba inamtapeli nani?
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Wanajamvi Hivi hakuna mtu anayeweza kumsaidia Mo kuelewa kuwa Kuna tofauti ya Simba na CCM, Je Mo anadhani yeye kuwa mwanaccm ndo wanasimba wote tumekuwa wanaccm na washabiki wa Magufuli? Kwamba...
19 Reactions
53 Replies
6K Views
Kwa wale wapenzi wa masumbwi usiku wa leo kulikuwa na pambano kubwa kati ya haya majina mawili makubwa kwenye uzito wa juu duniani 'Heavyweight'; Dillian Whyte ambaye ni muingereza na Allexander...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Siku nyingine ya maumivu makubwa kwangu.mi mwaka huu ntakufa tu kwa presha. Mikia mmekuwa wahuni na wakatili sana. Sijapata ona watu wakatili kama nyinyi. Mmemchukua Morrison mmemchukua...
5 Reactions
47 Replies
6K Views
Timu ya soka ya Sevilla ya Spain usiku huu imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Europa baada ya kuifunga timu ya Inter Millan kwa magoli 3-2 Magoli ya Sevilla yalifungwa na De Jong (2) na Carlos wakati...
1 Reactions
44 Replies
3K Views
Nimepata nafasi mujarabu kabisa ya kuketi kwenye kiti cha VVIP nikishuhudia mtanange wa mnyama mkali yaani Mwekundu wa Msimbazi alivyomgalagaza Topolo la kirundi. Kwa kiasi chake ninaweza kusema...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Yanga wamemtambulisha CEO Kivuli Senzo aliyekuwa Simba SC. Katika utambulisho wameonyesha ujuzi wa bosi huyo pamoja na timu alizopitia. Yanga imefanya jambo la aibu kwa kuonyesha timu zote...
20 Reactions
37 Replies
4K Views
Wakuu habarini? Nachukua nafasi hii nikiwa mpenda soka na shabiki kindakindaki wa Simba Sports Club kutoa pongezi kwa mwekezaji wetu ndugu Mohamed Dewji "Mo" kwa kuiwezesha Simba kuwa club yenye...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Logo ya Simba imebadilishwa na kuidhinishwa kutumika. Swali langu ni je, taratibu za kuibadili na kuitumia nembo mpya ya Simba zimefuatwa?
1 Reactions
59 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…