Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Kwanzia Leo taarifa rasmi za simba sc za lugha ya kingereza zitatoka kupitia official page yao ya lugha hiyo itakayo julikana kama "Simba sc English" Utopolo mpooooo? Mambo ya Barbara Gonzalez...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Leo kuanzia saa 1:30 usiku kutakuwa na mtanange mkali Kati ya Chelsea na Man United mchezo utachezwa Old Trafford.Kwa utabiri wangu Man United ataibuka kidedea shida kuu ya Chelsea hawana kocha...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Baada ya pambano la Israel Adesanya na Costa kufanya vizuri sana kwenye ulimwengu wa 'combat sports' kwenye UFC253, kesho tena tunatarajia kushuhudia pambano ambalo pengine ndio kubwa zaidi kwa...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Hapa naangalia Aston Villa anavyotoka jasho dhidi ya Leeds United. Hawa vijana wa Marcelo Biesla ndio wananiburudisha kuliko timu yoyote EPL kwa sasa. Japo mie shabiki wa Manchester United ila...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Nimemkumbuka huyu mtu --Ander Herrera -- alikuwa mmoja wa wachezaji ambao walipumua na kunywa maji ya bendera ya United haswaa!! na walionyesha mapenzi sana kwa timu kila anapoingia uwanjani...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Kwa kweli mie nakereka mno kumsikia huyu jamaa kwenye vipindi vya michezo radio E FM ya Dar. Huyu ndo anajifanya mchambuzi wa michezo hasa soka hapa nchini lakini hata neno jepesi tu la Kiswahili...
11 Reactions
39 Replies
4K Views
Karibuni tufuatilie mechi hizi pamoja Tushuhudie vigogo hawa watakavyofanya hii Leo Utaburi wangu Prison 0- 3 Simba Yanga 1- 3 Tanpolis OKW BOBAN SUNZU GENTAMYCINE @Forteleza na wengine toka...
2 Reactions
150 Replies
15K Views
1: WHAT A MATCH[emoji119] Kimbinu, Kiufundi, wachezaji na makocha walijitahidi sana kuthamini viingilio vya mashabiki. Mechi ilikuwa ya wazi na Timu imepata matokeo 2: Mwanzo mzuri Cedric...
9 Reactions
15 Replies
3K Views
Kuanzia kocha, kipa mpaka foward Wachezani watoe kutoka club yoyote duniani ili kuwapata first 11 yako. Yaani namaanisha changanyachanganya wachezaji. Wasitoke timu moja.
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Nilikuwa namjua mchezaji wa Man city anaitwa Mendy ..halafu nikaona Real Madrid Wana ndugu yake kama sikosei anaitwa Mendy pia.. Mara nikaona Leicester Wana Mendy pia Juzi nimeona kipa chelsea...
5 Reactions
24 Replies
3K Views
Bernard Morison ni Mali ya Simba, TFF wanachelewesha sakata kwa Maksudi, Mkataba wa Morison Simba waliupokea wao TFF halafu sasa hiv wanauchunguza tena hapo walivyotoa kibali kuwa Morison ni...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
STORI YA KUFURAHISHA YA MAREHEMU SYLLERSAID MZIRAY! Syllersaid Mziray alikuwa kocha wa Simba mwaka 1986 wakati huo mwenyekiti wa Simba ni Emmanuel Makaidi na katibu mkuu ni Jimmy David Ngonya...
14 Reactions
54 Replies
10K Views
Tusisubiri mpaka mtu afe ndio tumpe sifa. Kwa heshima na taadhima, leo nimeona tumpe sifa zake mtangazaji bora wa mpira hapa Tanzania kwa upande wa televisheni, ndugu Baraka Hudson Mpenja wa Azam...
20 Reactions
73 Replies
13K Views
Kwa wadau wanaifahamu vyema haya mambo,nauliza kule utube,naona kuna klipu za video zikionesha mapigano kadhaa ya bruce lee na wapiganaji wa kick boxer na maboxers wengine,hivi hizo ni video za...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hii ndio ratiba baada ya mechi za kimataifa, ikumbukwe Uefa ndo inaanza rasmi, Man Utd atakuwa na ratiba hii inamkabili, unadhani Man Utd ataambulia ushindi kwenye mechi ngapi kati ya hizi?
2 Reactions
22 Replies
5K Views
Aston villa walitakiwa kucheza na Manchester united mechi ya kwanza kwenye ligi, Hawakucheza kutokana na Manchester united kuongezewa muda wa mapumziko pamoja na Manchester city Am sure kama sio...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Hivi ni collage gani nzuri inaetoa online shortcourse za ukocha wa football kwa ulaya lakini ziwe certified? Na je gharama zake zipoje? Naomba mnisaidie aisee niwe kocha nichukue kibarua cha mtu...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Sorry wadau mtu akitaka kujifunza na kua certified na official football coach anapaswa kufuata atua gani?
1 Reactions
2 Replies
920 Views
Mwandishi uchwara aliandika hivi Beno akamchana
5 Reactions
94 Replies
8K Views
Aston Villa haina hadhi inayosababisha Mimi nivae jezi yake. Nilinunua jezi yake kwasababu ya kijana wetu Mbwana Samatta kuwa pale. Sasa Mbwana hayuko najisikia vibaya kuivaa ile jezi ambayo...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…