Mechi zijazo za Man Utd

Mechi zijazo za Man Utd

Greatest Of All Time

Platinum Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
26,550
Reaction score
62,022
Hii ndio ratiba baada ya mechi za kimataifa, ikumbukwe Uefa ndo inaanza rasmi, Man Utd atakuwa na ratiba hii inamkabili, unadhani Man Utd ataambulia ushindi kwenye mechi ngapi kati ya hizi?
IMG_4142.JPG
 
Huyu kocha aondolewe haraka
Achen lawama kwa kocha ,lawama peleken kwa mabosi ambao Ni wabahil wanataka kubania pesa kipuuz wakat wenzao wanasajil kila Leo wao wameuchuna tu ,hata msimu uliopita kushika nafasi ya tatu Ni mungu tu alikuwa upande wa man u na hapo kocha Ni wa kupongezwa sna ,maboss baada ya kuona wamepita kibahat bahat na msimu huu wanataka bahat ya msimu uliopita badala ya kusajil.

Kocha Yuko poa Ila wachez Ni wabovu Sana hasa beki na forward hamna kitu mule ,mlaumu bosi kwa ubahil wake
 
Kikubwa kwangu ni simba wameziba pengo asseh nimepunguza kuwafatilia kabisa hawa watu wanaweza kukupa presha.
 
Back
Top Bottom