Wakati msimu unaanza, Miguel Gamondi aliendelea na kazi yake, Ila mashabiki wengi hatukufurahishwa na mwenendo wa matokeo ya ushindi mwembamba, Yanga ilikuwa inashinda lakini kwa taabu, hatimaye...
Apo mwanzo ilielezwa kuwa mshambuliaji uyu machachari ata timkia jangwani kwa mabingwa Young Africans sports club lakini baada ya sababu za kinidhamu wameamua kuachana na mchezaji uyo, kwa ili...
Kama wewe mpenzi wa Games basi tambua EA sports imemuondoa Diogo Jota kwenye Games 🎯.
Aliyekua mchezaji wa Liverpool ambaye alifariki Kwa ajali ya Gari mwezi mmoja uliyopita nchini Spain Diego...
Nimethibitisha ni wazi kuna tatizo kubwa sana huko ndani kwenye uongozi wa simba.
Sijajua exactly kama ni hela hakuna??, Viongozi wamejigawa??, au kingine chochote ila nakuhakikishia kuna tatizo...
Kitenge nina uhakika pamoja na kwenda Kwako Ulaya / Marekani / Asia kila mara tukikuweka Wewe na Kocha wa Simba SC Mbrazil Roberto Olivieira bado atakuzidi na humuwezi hivyo tunakushangaa...
JE UNAIJUA HII VEST YA CATAPULT?
-Kuna vest flani hivi wachezaji wamekua wakizivaa wawapo uwanjani au mazoezini, watu wengi wamekua wakitamani kujua zile ni vest za kazi gani au kwanini huwa...
Si kwa ubaya, ila sisi wahindi especially wa jamii ya ponjoro, tunajulikana zaidi kwa kuchezesha kamari, kutumikiaha watu kwa ujira kidogo na kulalamika tunapata hasara.
Hiyo ni jadi yetu na...
Sawa bhana Kaka yako nikutakie kila la Kheri na naamini huko unakoenda yoyote yule mtakayegombania nae namba hatougua mara kwa mara, hatopatwa na matatizo ya Macho na Wewe safari za kimya kimya za...
Mchezaji tishio wa club ya Simba Elie Mpanzu ameiandikia club hiyo kuomba kuachana nayo baada ya kupata timu nyingine.
Ameikumbusha club hiyo makubaliano ilikuwa ni kusajiliwa kwa mwaka 1 kwa...
Nimeona taarifa juu ya uyu mchezaji Elias Mpanzu ambae Simba ilijaribu kutumia nguvu kumpata ila wakashindwa kwasababu ya ofa kubwa toka ulaya ,kwa bahati mchezaji uyo ameshindwa vigezo vya...
I will be short
kuna card za chana 50 k na kuna 40 billion on the table for simba sc shares. hapo kila mtu ana 800k kila card.
Kama vipi simba tuuze tu, naona dp world na bakhresa wanavizia...
Baada ya kupewa thank you nyingi na wachezaji wake timu ya Simba ni kama wamechanganyikiwa, kuanzia Mwenyekiti wao mpaka mashabiki kila mmoja anakuja na kauli zake.
Hawana tofauti na wale wajenzi...