Timu ya soka ya Yanga imeifunga timu ya Biashara kwa BAO 1-0 na kufanikiwa kuingia fainali ya kombe la ASFC
Katika mechi hiyo iliyofanyika katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mkoani Tabora, bao la...
Naomba kujua hivi ni nini hasa kilichosababisha Manji kuacha kuifadhili yanga.
Maana kama hakuwepo nchini sio sababu yenye mashiko.
Najaribu kutafakari na sipati majibu maana aliiacha yanga...
Katika kitu ambacho kiliniumiza nafsi ni mechi ya Mei 8 kuahirishwa. Lakini kutokana na msimamo wa ligi ulivyo sasa. Naamini katika ule msemo wa mabeberu "Everything happens for a reason". Hivi ni...
Habari ndio hiyo, sasa kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake.
Sheria hiyo iliyoanzishwa mwaka 1965 itaondolewa kuanzia msimu ujao kwenye mashindano ya UEFA ikiwemo Champions League.
Sheria...
Wakuu Shirikisho la Soka Tanzania (Tff) wamemalizana Na Aliekuwa M/kiti Wa Yanga Mwakalebela Kwa kumfutia adhabu zake Zote, Pia Kamati Hyo Imewaondolea Adhabu Wanachama wawili Wa Yanga, Kocha...
Nimetoka Kumsikia Msimamizi Mkuu wa Uwanja wa Maji Maji huko Songea (Mkoani Ruvuma) utakaotumika katika Nusu Fainali ya ASFC Kesho kati ya Azam FC na Simba SC nimebaki Kusikitika na hata...
Yawezekana kuna watu watakataa lakini hilo ni 'non of my business '
Nije kwenye mada moja kwa moja, kwa maoni yangu naona soka la bongo limekuwa zuri haswa, yaani hata ukilipa au kutenga muda...
Salaam wakuu
Binafsi mpira nilikua nacheza tuu na wakati huo sikujua kua mpira ni kazi na unawalipa watu..kwahiyo sikuupa muda wala nini...
Mtaani Kuna watu wengi Sana waliokua na ndoto kua...
Kwanza nianze kwa Kupongeza Ushindi mzuri wa Goli 4 kwa 1 ambayo Simba SC imeshinda leo ( Usiku huu ) dhidi ya Mbeya City.
Pia nikiri kuwa Klabu ya Simba si tu kwamba inaishia kuwa na Kikosi...
Nasema hivi,
Yule msiempenda anasogea kwenye meza ya chakula, maana ameonekana akinawa mikono na kijifuta kwa taulo safi jeupe. Amesema kuwa atashiriki kwenye chakula cha jioni siku ya...
Sisi #thecommonwananchi tunauliza sijui sijaona mtonyo ukirudishwa wa ile game iliyochakachuliwa ya Simba na Yanga, sisi watanzania ni wazuri sana wa kusahau na kuvumilia mengi.
Nawezekana...
Nimezungumza Mara nyingi na wanaonielewa wananielewa.
Simba wanakikosi kimekaa pamoja wachezaji wake zaidi ya 70% wamepata challenge nyingi na kubwa kubwa kuliko hizi timu zetu za ligi yetu...
Hii ni somo fupi iliyoambata na mifano halisi juu ya sheria namba 11 (kuhusu offside).
Ni moja ya sheria inayowapa shida watu wengi sana kuitafsiri. Mfano kwenye mechi ya Yanga vs Mwadui kuna...
Haya Mwenzenu huyu ( tena Waziri ) na Mfadhili wa Kujificha Mwigulu Nchemba kasema hivi nyie ni nani mumkatalie?
Chanzo: TBC1 Bunge Live hivi punde tu.
With Barcelona now confident Lionel Messi will stay at Camp Nou, president Joan Laporta is understood to be focusing on how to build a new super-team - and is working on a deal to bring Juventus...
Nimekuwa nikiandika hapa JamiiForums na kusema wazi wazi kuwa huko Yanga SC kuna 'Fukuto' Kubwa mno ila limefichwa na Siku 'likitumbuka' huenda Moto utawaka.
Nilishasema kuwa Yanga SC hasa kwa...