Timu ya soka ya Yanga imeifunga timu ya Biashara kwa BAO 1-0 na kufanikiwa kuingia fainali ya kombe la ASFC
Katika mechi hiyo iliyofanyika katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mkoani Tabora, bao la Yanga lilifungwa na mshambuliaji wao wa kimataifa kutoka Burkina Faso, Yacouba Songne katika dakika ya 22.
Kwa matokeo hayo sasa Yanga itamsubili mshindi wa mechi nyingine ya nusu fainali kati ya Simba na Azam